Tangu MAXIMO aondoke TUMEPIGA HATUA au TUMERUDI NYUMA?

Bongolander

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2007
Posts
5,067
Reaction score
2,210
Wakuu mnaofuatilia kabumbu. Kuna wakati hapa Jamvini watu walimponda sana MAXIMO kuwa ndio kikwazo kwa maendeleo ya soka, nakumbuka hata mwanasoka mmoja aliingia jamvini na kumponda Maximo.

Tuangalie sasa tangu ameondoka, Tuko wapi, Kwanza Afrika Mashariki, Afrika na hata kwenye ranki za FIFA, tumepiga hatua au tumerudi nyuma.
 
aisee, kweli sasa nimeamini maximo alikuwa kocha mzuri...mzuri zaidi ya JAN PAULSEN.....kipindi cha maximo timu ilikuwa inajituma zaidi, morale ya wachezaji ilikuwa juu, timu ilikuwa na uwezo mkubwa sana wa kudefence ingawa forward ilikuwa tatizo... ila sasa ivi fprward hakuna na beki nazo zimelegea sana
 
Mkuu naona Paulsen yuko kimya sana, kwa kuongea na kwa hata kwa vitendo labda wataema anahitaji muda zaidi.
 
Kiwango cha wachezaji kufika kuchaguliwa timu ya Taifa, kocha huwa hawafundishi kucheza mpira, kocha huwa anawanoa kushinda kuongeza kiwango cha uchezaji na mbinu.

Ikiwa mchezaji kisha fikia kiwango chake "capacity yake" hata umletee Wenger au "The one" hatofundishika.

Tanzania ili kuongeza kiwango cha soka, inatakiwa iwe na "program" ya muda mrefu, ya kuleta makocha na si kocha, kuanzia makocha wa chekechea, msingi, sekondari na kuendelea. kutengeneza viwanja vya mazoezi vyenye kiwango kinachokubalika na kubadili kabisa mfumo wa sasa wa soka ambao hauna muelekeo.

Waswahili hunena "samaki mkunje angali mbichi, akikauka humuwezi"
 
kwani maximo alikuwa anawafundisha????? anyway. ni kweli mipango from grassroot level inatakiwa....though ukweli Maximo alikuwa mzuri kuliko Paulsen
 
Mkuu Kocha huwa hafundishi mchezaji kuwa na kipaji, isipokuwa huwa anafundisha wachezaji wenye vipaji kucheza kama timu. Hayo ndio alikuwa akiyafanya Maximo. Swali ni kuwa je Paulsen ameweza kuwafundisha wachezaji wachezaji wenye kipaji kuleta matokeo mazuri?
 
Nimeskia wenzetu Botswana wamesha-qualify 2012..dah..sisi bana ngoma nzito aisee..tuwekeze kwene mambo yetu yalee na mambo ya ushirikian na uganga ndio tunayoyaweza. HUku kwengine ni kujipa jakamoyo tu walahi..
 
Soma post yangu vizuri, hakuna mahali niliposema kocha anafundisha vipaji.

Si Paulsen si Maximo hakuna ataeweza kuinoa timu ya wachezaji ambao hawana "basics" za mpira toka utotoni. Hata uwe na kipaji cha mpira lakini kama huna "basics" za vipi kumiliki, kukokota, kupasia, kujipanga, kuanzisha mashambulizi, kuanzisha kujihami, kanuni za mpira, nidhamu ya mpira. Na mengineyo mengi tu. Basi hata aje nani.

Tukitaka tuone soka linabadilika Tanzania, tuanzie kubadilika "from scratch" na matokeo tutayaona katika miaka 10 hadi ishirini ya kuanza mabadiliko. Bila hivyo, tuendelee tu kuwa wazalendo.

Sitomlaumu Maximo wala Paulsen, wala kumsifu zaidi mmoja wao. Wote hawa ni makocha wazuri na kila mmoja ana "unique characteristics" zake. Ambao uzuri wao hautatusaidia kufikia kiwango cha soka la kimataifa kwa kuwa tu hatuna mikakati ya kutufikisha huko. Na hiyo haianzii timu ya taifa.
 
kwani maximo alikuwa anawafundisha????? anyway. ni kweli mipango from grassroot level inatakiwa....though ukweli Maximo alikuwa mzuri kuliko Paulsen
Kwa vigezo vipi? Kwa ku-draw attention kubwa ya media? Wabongo mnapenda makelele mengi kwenye magazeti, radio na tv. Huyu danish naona hapendi matangazo tayari mshaanza kumwono hafai, lol!
 
Nimeskia wenzetu Botswana wamesha-qualify 2012..dah..sisi bana ngoma nzito aisee..tuwekeze kwene mambo yetu yalee na mambo ya ushirikian na uganga ndio tunayoyaweza. HUku kwengine ni kujipa jakamoyo tu walahi..
Nami nimestaajabu kuona Botswana wameisha-qualify fasta
 
Kiwango cha wachezaji kufika kuchaguliwa timu ya Taifa, kocha huwa hawafundishi kucheza mpira, kocha huwa anawanoa kushinda kuongeza kiwango cha uchezaji na mbinu.

Ikiwa mchezaji kisha fikia kiwango chake "capacity yake" hata umletee Wenger au "The one" hatofundishika.

Tanzania ili kuongeza kiwango cha soka, inatakiwa iwe na "program" ya muda mrefu, ya kuleta makocha na si kocha, kuanzia makocha wa chekechea, msingi, sekondari na kuendelea. kutengeneza viwanja vya mazoezi vyenye kiwango kinachokubalika na kubadili kabisa mfumo wa sasa wa soka ambao hauna muelekeo.

Waswahili hunena "samaki mkunje angali mbichi, akikauka humuwezi"

asante ndugu. uko vizuri sana kwenye soka. ili ukuja kwenye siasa hufai hata kidogo kwa kuwa hupendi maendeleo.
 
Maximo alikuwa na uzuri wake na Palsen pia ana uzuri wake.
Lakini hakuna kocha bobu aliyewahi kuifundisha stars kama ZAKARIA KINANDA.
mNAMKUMBUKA?
 
Mi naona afadhali siasa zimepungua kwenye timu ya taifa. Nisichompendea Maximo ni kupendapenda kuongea na waandishi wa habari....
 
Bila Maximo 'kupendapenda kuongea na waandishi wa habari' wabongo wengi wasingerudisha mapenzi kwa Taifa Stars, maana wengi walishaimwaga!!
 
Paulsen ametuletea Kombe la Challenge. Hivi kipindi cha Maximo tuliwahi pata kombe gani?
 
Mbili mbele tatu nyuma nayo ni maendeleo aka kupiga hatua.
 
Back
Top Bottom