Tangu mchepuko wangu aanze vicoba, amekuwa na tabia ya kuniibia

Ila huyu mwanamke kaka yangu si umuoe tu...ushamgeuzageuza kama chapati unataka akawe mke wa nani? Usijali kuhusu akili mtatumia za kwako
Hata hapa nilipo natumia za kwangu TU,
Hajawai hata kunishaur Jambo lolote la maana ktk uchumi wangu Zaid ya kuleta bills zake tu
 
Una Huruma sana ndugu. Subiri tukio Jingine kutoka Kwake keshakusoma Mpka Anajua Maini yapoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…