mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Shaka ondoa chiefAfu mkuu sorry khs ule mchakato wetu, Nisamehe Sana sikuisoma ile text yako kw wakati. Nmekuja stuka it's too late.
Sema ile mchakato wetu nilikwenda kuisolve Moja kwa moja dodoma, na nmerud juz TU.
Mda si mrefu ntakupa briefing
Pamoja tukisubiri episode inayofuataTunawasiliana Mambo mengine,
bado hajanigusia kabisa khs suala lake la kibubu kupotea.
Nahisi hajajua bado Kama kibubu hakipo[emoji4]
Kesho si ndo Ijumaa siku ya rejesho...Tunawasiliana Mambo mengine,
bado hajanigusia kabisa khs suala lake la kibubu kupotea.
Nahisi hajajua bado Kama kibubu hakipo[emoji4]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaan umenifanya nmecheka kwa sauti.Kesho si ndo Ijumaa siku ya rejesho...
Ngoja akute empty space nahisi atazimiaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I just imagined her kainama kuchukua kibubu chake chenye hela ya udokozi halafu akutane na surpriseeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaan umenifanya nmecheka kwa sauti.
Eti akute "empty space"
Yaan Hivi vikoba vimekuja kutuletea mabalaa Wanaume.[emoji848]Dar kuna mke wa mtu analiwa tigo kisa upatu ama kikoba na Dodoma kuna mke wa mtu mmoja nae anavurumishwa sana na wanaume mradi tu apate hela za vikoba vitatu. Wanagongwa sana.
Wanasikitisha sana...Naam mzee wa muongozo[emoji4]
Vijambazi mko wengiShida yote hii kisa mchepuko
Mrudishie kibubu chake
Tena ushukuru hata anahifadhi
Mwache atafute kesho yake...
Asipokuchuna na kukuibia wewe akamchune nani???
Mune wa mtu ni wa kula starehe nae na kumchuna...kama huchuniki uibiwe tu hakuna namna!!!!
Umekificha wapi? Au kwenye gariTunawasiliana Mambo mengine,
bado hajanigusia kabisa khs suala lake la kibubu kupotea.
Nahisi hajajua bado Kama kibubu hakipo[emoji4]
Haya mambo yanamfanya mtu akuwe, awe na weledi kunamambo kama hujapitia wewe bado ni mtoto hata kama una miaka 70.Naam ngoja tuone, yetu macho
msisingizie vikoba bana muwalaumu hao hao madem wenu wezi wezi....Yaan Hivi vikoba vimekuja kutuletea mabalaa Wanaume.[emoji848]
Can u imagine ndo ya mtu inavunjika kisa kikoba, upuuz wa wapi huu wanafanya kinamama[emoji3525]