Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila siku hz watu wanachukuwa story huku wanapeleka kwemye vile app ambazo sinatoa matangazo Kuna siku nilikatiza Moja nikaona story hyo ilikuwa jf ila uko mtu anatafuta ushauri uwe makiniHaijui jf, ndo maana Najiamini 100%.
MDA mwingi Yuko watsapp, Instagram na tiktok
Duh! [emoji44]Ila siku hz watu wanachukuwa story huku wanapeleka kwemye vile app ambazo sinatoa matangazo Kuna siku nilikatiza Moja nikaona story hyo ilikuwa jf ila uko mtu anatafuta ushauri uwe makini
Anaweza asiwe jf ila story za huku sinaamishwa na wahuni kupost kule
Wala Hata Sina mpango wa kumuadhibu, ila kumuumbua TU aone aibu na kumuonya aache ujinga na utoto anaoufanya.Hiyo app inaitwa Phoenix huwa wanatumia story za jf kupamba peji zao
Msamehe mchepuko kwa kuwa ajakuiba milioni muache tu ila usiwe unaenda na pesa hapo
Ha ha ha....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasubiri mwizi kuibiwa na mwenye mali sijui atasemaje hpo
Ni kwamba mchepuko alitaka nimfungulie biashara,Summary please
😂😂😂😂 Mchepuko kiboko..naomba usisahau mrejeshoNi kwamba mchepuko alitaka nimfungulie biashara,
Nikampa condition kwamba ili nimsapoti sharti Kodi na pesa ya kuanzia atafute mwnyw kwa mshahara wake, nitamboost mbele ya Safar.
Mchepuko akaona Njia sahii Ni kucheza vikoba kwa kuweka akiba kidg kidg, wakivunja akafungue duka.
Sasa tamaa ya kurejesha rejesho la kikoba na kuweka akiba yakafungue biashara, Akaanza tabia ya kunisachi mifukoni akinikwapua ela kidg kidg ili kuweka akiba kwny kibubu.
Nmemuwekea mtego wa kumnasa akiniibia pesa, ndo nasubir ulipuke ili nimwambie na nimkanye tabia iyo.
Nimewahi kubiwa na mchepuko nilienda kuoga nikarudi nikavaa nikamsindikiza, nimerudi na angalia hela ilikuwa mezani chini ya kitabu siioni.Kameanza uhuni wa kishamba[emoji4]