mtu wa system
JF-Expert Member
- Mar 30, 2025
- 375
- 607
Nakuunga mkono kuna jamaa kafosi miaka 5 kashindwa kuhama ila jamaa mmoja akamwambia nipe milion 2vmzee miez mitatu haijapita kashahama tena kahamia dar temekeMkuu pole sana na changamoto unayopitia ila ukweli ni kwamba hiyo changamoto wanapitia watu Wengi sana katika Nchi yetu
Ila ifikie hatua tuujue ukweli kuwa katika Nchi yetu ukitaka vitu muhimu uvipate kwa njia ya Halali utataseka sana
Kama wewe kwako jambo unaliona ni la umuhimu mkubwa fight kwa kutumia njia zingine na utalimaliza kuliko kuendelea kudai haki yako
Kama utaendelea kusubiri mfumo ndio ukuhamishe ili uwe karibu na mkeo basi utakuja kukutana na mkeo kipindi cha kudai taraka, Jiongeze Mkuu