Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Nashangaa Kuna watu wanalalamika maisha ya Tanzania yamekua magumu mbona wananchi tunafurahia sana maisha maana tuna viongozi wanaotujali.
Tunamshukuru sana Mungu Kwa kutupa viongozi imara kupitia chama Cha ccm maana nchi imejengeka sana na wananchi tunaishi maisha mazuri na mwakani kura yangu ni Kwa chama tawala sababu wananchi tunafurahia nchi