bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Ugaidi ni ajenda za wazee suti nyeusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni vita ya Ukraine na Urusi, West wamesema wao wanawasikilia Ukraine kile wanataka kuhusu nchi yao na watasimama nao kadri wanavyoweza.Hii Vita ya Ukraine itadumu sio chini ya miaka 10 ivi mpaka USA na washirika wake wakubali yaishe kiroho safi
Hii ni vita ya Ukraine na Urusi, West wamesema wao wanawasikilia Ukraine kile wanataka kuhusu nchi yao na watasimama nao kadri wanavyoweza
Kwa Mrusi hana cha kupoteza kwake kabisa acha inyeshee mvua apo tujue wapi panavujaUS anataka vita iendelee ili yeye afaidike kwa kuuza silaha na watu wapate ajira
Kwamba hasara anayoipata kuanzia ndege na meli si kubwa?Kwa Mrusi hana cha kupoteza kwake kabisa acha inyeshee mvua apo tujue wapi panavuja
Tiari,Washakurupuka.Umendika vyema sana
Ngoja Rainbow wa NATO waje
Ukweli ni kwamba activities za hayo makundi umepungua tangu kinuke UkraineMleta uzi mwenywe hata haishi hayo maeneo yaliyoathirika kwa hizo vita, yuko hapo Tandale kwa mfuga mbwa.
Umepimaje??Ukweli ni kwamba activities za hayo makundi umepungua tangu kinuke Ukraine
.Takriban kwa miaka 23 iliyopita haikupita siku usisikie habari za kusisimua kuhusu mashambulizi ya Alqaida ,Boko haramu.Makundi hayo kila siku yalizalishwa vitoto vyao kuanzia Alshabaab kuteremka chini mpaka ISIS na vijukuu kama viel Saheli ni West Afrika.
Mitandao hiyo ilionekana kila siku kutanuka mpaka ikafikia maeneo Msumbiji na mashamba ya Kilombero nchini Tanzania.
Vinchi vidogo vidogo vilivyo wajumbe wa NATO kama vile Ureno navyo vilionekana kujishughulisha au kushughulika na vikundi hivyo kwani waliingia kati eti kulifunza jeshi la Ureno kupambana na Alqaida.
Nigeria ikiwa ni nchi kubwa yenye kuheshimika kwa Afrika ikiwa na idadi kubwa ya watu kwa kila kilomita mraba moja ilishindwa kupambana na wanamgambo wa Bokoharamu ambao walitajwa kuteka watu na kujificha nao kwenye vichaka jirani na makazi ya watu.Kumbuka Nigeria ni nchi iliyo mpakani na Jangwa la sahara na halina misitu kama Tanzania.
Miaka karibu miwili tangu Urusi ianze kupigana na Ukraine na ambapo nchi nyingi za Ulaya na umoja wa NATO wameonekana kuiunga mkono Ukraine,mashambulizi ya makundi hayo yote yamekuwa hayasikiki sana.
Hata Nigeria imerudi tena kuwa nchi yenye amani kiasi.
Kwa upande wa Msumbiji wamerudi kutumia bandari zao zilizokuwa zimetekwa na Alshabaab
Kenya na msumbiji ilikua kila siku habari,Boko Haram daily pilika...juzi sijui Jana jeshi Niger limepoteza pesonels 17,inadaiwa Al qaedaUmepimaje??
Uongo, hakuna mwaka imekuwa kila siku wanafanya mashambulizi.Kenya na msumbiji ilikua kila siku habari,Boko Haram daily pilika...juzi sijui Jana jeshi Niger limepoteza pesonels 17,inadaiwa Al qaeda
Ni observation nzuri na sahihi kabisa.Mkuu hivyo vikundi wameviunda wao for destabilization purposes ili waibe resources etc.,na resources wanawapa wao,sasa resources si zinakwenda Ukraine, lazima huko kwingine kupwaye.Takriban kwa miaka 23 iliyopita haikupita siku usisikie habari za kusisimua kuhusu mashambulizi ya Alqaida ,Boko haramu.Makundi hayo kila siku yalizalishwa vitoto vyao kuanzia Alshabaab kuteremka chini mpaka ISIS na vijukuu kama viel Saheli ni West Afrika.
Mitandao hiyo ilionekana kila siku kutanuka mpaka ikafikia maeneo Msumbiji na mashamba ya Kilombero nchini Tanzania.
Vinchi vidogo vidogo vilivyo wajumbe wa NATO kama vile Ureno navyo vilionekana kujishughulisha au kushughulika na vikundi hivyo kwani waliingia kati eti kulifunza jeshi la Ureno kupambana na Alqaida.
Nigeria ikiwa ni nchi kubwa yenye kuheshimika kwa Afrika ikiwa na idadi kubwa ya watu kwa kila kilomita mraba moja ilishindwa kupambana na wanamgambo wa Bokoharamu ambao walitajwa kuteka watu na kujificha nao kwenye vichaka jirani na makazi ya watu.Kumbuka Nigeria ni nchi iliyo mpakani na Jangwa la sahara na halina misitu kama Tanzania.
Miaka karibu miwili tangu Urusi ianze kupigana na Ukraine na ambapo nchi nyingi za Ulaya na umoja wa NATO wameonekana kuiunga mkono Ukraine,mashambulizi ya makundi hayo yote yamekuwa hayasikiki sana.
Hata Nigeria imerudi tena kuwa nchi yenye amani kiasi.
Kwa upande wa Msumbiji wamerudi kutumia bandari zao zilizokuwa zimetekwa na Alshabaab
Tena kubwaUna hoja usikilizwe
Upo sahihi kbs hata Drc Kuna mchezo mchafu unafanyika kwa kufadhili vikundi vya waasi hata Monusco wanatumika sn ndio maana nchi km Tanzania wanakuwa km mbuz wa kafara.kwasisi tuliyozunguka maziwa makuu tunafahamu sn.Uk,USA,France, Belgium n.k watu wabaya sn ila tukiwapinga tunaambiwa maustadhi na huku wengine sisi ni wakristo.bure kbs
Ndio mwenendo wa kimaumbile.Ukienda Ukraine Urusi inapiga sana kule karibu na Kharkiv ili Ukraine ishindwe kusonga mbele Kherson kuelekea sea of Azov. Na Ukraine nao wanapiga sana huku karibu na Crimea ili kupunguza nguvu za Urusi Kharkiv kuelekea Kyiv.Upo uwezekano kuwa vikundi hivyo vilikuwa vinafadhiliwa na nchi za magharibi ambazo zimehamishia nguvu kunako Ukraine