Tangu NATO kujiingiza kuisaidia Ukraine Alshabaab, Alqaida na Boko haramu wamepotea

Ukweli yaani wakristo wengi hawataki kufungua akili kujua adui ni nani? Wao bado wanaamini hayo makundi ya kigaidi ni ya kislam.
ukiacha LRA kundi la kigaidi la Uganda na Ant Balaka la Jamhuri ya Afrika ya Kati ambayo ni makundi yaliyopigana nchini kwao tu, kuna makundi mengine yanayojinasibisha ni ya kikristo yanayotishia amani ya Dunia kama hayo makundi ya kiislam? Kwanini waislam watumiwe kuleta vita katika mataifa ya dunia? Kwamba ni wajinga na hawana akili za kubaini njama za hao western?
 
Marekani ni tatizo kubwa la ulimwengu huu kwa sasa.....hata COVID iliisha siku urusi ameivamia Ukraine. Matangazo kuhusu covid yalikoma.
 
Niko Nje ya mada kidogo;

Hivi Yule mkatoliki kule Nigeria kaachiwa?
Silikali haina ela yakumtoa uyo sisi tunaela zakununu magoli ya simba na yanga alafu atutaki maswali magumu nawaikristo [emoji1] [emoji1787] [emoji23]
 
Habari za hivi punde ni kwamba watu 23 wamepigwa chuma na magaidi huko Mali,
 
Hii Vita ya Ukraine itadumu sio chini ya miaka 10 ivi mpaka USA na washirika wake wakubali yaishe kiroho safi
Kama Trump ataruhusiwa kugombea uchaguzi wa Marekani na itokee ashinde uchaguzi,basi vita ya Ukrein na Russia itakuwa imeisha kwa sababu chache zifuatazo: (1)Trump atasitisha misaada ya fedha na silaha inayopelekwa kwa Ukraine.
(2)Trump na Putin ni mabilionea marafiki wanaoelewana,ndiyo maana Putin alosubiri kwanza Trump aondoke madarakani ndipo akaivamia Ukraine.
(3)Trump na sera yake anayoiita "America first",Huwa hapendi kujihusisha sana na organisation za nje kama NATO na kadhalika.
Mpaka sasa Joe Biden amekuwa ni janga kubwa sana kwenye huu mzozo wa Russia na Ukraine,amekuwa akichochea petroli kwenye moto ambao tayari unawaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…