Tangu nijiunge JamiiForums sikuwahi kuingia MMU

Tangu nijiunge JamiiForums sikuwahi kuingia MMU

M
mapenzi
M
mahusiano
U
urafiki.

hilo komwe lako kama linaona halijawahi kuingia mmu sasa kalipeleke mmx,ng'ombe kabisa.
 
Join Sunday mnavituko haya bibie u have our attention maana Ndio kitu ulicho taka

Haya leta maneno.......tukupeleke Kwa rikiboy au tuache kwanza
 
Jamaa kanistua sana nikajua kuna jukwaa la kuona pilau meloo kanificha aisee ningemlahan meloo afu mods mshaulin bosi atuwekee na jukwaa la pilauu kuingia shart ulipie buku 5 dah atapiga hela hebu mumshaul bas msikaze fuvu maisha yeyw haya haya mnaogopa nn hakuna cha ajabu uchi walianza adam na hawa
Huyu ndo mr pipa Naemjua bado Chizi Maarifa na Poor Brain nao soon waje watoe neno la busara
 
Sujui sababu ila naogopa kuingia mmu
Amini,amini nami ninakuambia.Kama ulilifikiria tu,basi pasina shaka uliliishi moyoni mwako na uliingia.Kwani tulizungumza nini kuhusu zinaa?Hata kwa kuangalia tu,umeitenda zinaa.Je,hatukutaarifiana na kuomba toba kwa maneno,vitendo,mawazo na kwa kutotimiza wajibu?Basi jibu na liwe juu yako.Utanikuta Kapernaumu.🙏
 
Jamaa kanistua sana nikajua kuna jukwaa la kuona pilau meloo kanificha aisee ningemlahan meloo afu mods mshaulin bosi atuwekee na jukwaa la pilauu kuingia shart ulipie buku 5 dah atapiga hela hebu mumshaul bas msikaze fuvu maisha yeyw haya haya mnaogopa nn hakuna cha ajabu uchi walianza adam na hawa
Pipa on one and two teh teh teh 😂
 
Hicho ni kitu ambacho hakiwezekani kamwe. Zinaa ni wewe mimi sio
 
Nilivyosoma kichwa cha uzi nikajua una miaka kadha wa kadha, kumbe una siku 4 tu??

Shubaamit[emoji52]
 
Back
Top Bottom