ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Yes π«°Dada hupepesagi
Sasa mimi natokea sinzaπ±Watoto wa ushago hawana pigo zenu za Sinza.
Na mtu msiyefahamiana?πVijana wanavutiwa..
Ni admirationHuyu, hata Mimi nimefall kwenye maandishi nyuma ya keyboard, vp wewe umeshawahi kumuona? au na wewe umefall kwenye maandishi kama Mimi, Kwa tabasamu uliyoiona inaonyesha ni superb .
Ila mkuu unalafudhi ya kuchekesha sanaπ€£nasekaa π€£ π€£
vumilia, okompandeka duhu!
Duhu kukata tamaa nyandone
Hebu niache!π€£Ila mkuu unalafudhi ya kuchekesha sanaπ€£
Sukuma LegacyHebu niache!π€£
Wa kokayaSukuma Legacy
Kumbe Kuna wasukuma pure kabisa humu?Hebu niache!π€£
Mi nimefall, admiration bila kumuona? Hii hapana wacha niendelee kufall.Ni admiration
Uli msukuma wa hale ubebe? Maana ulekiyomba haswa haswa geteπ€£Duhu kukata tamaa nyandone
Haaaaaaaaaah π π πMi nimefall, admiration bila kumuona? Hii hapana wacha niendelee kufall.
- Fall in love: To develop strong romantic feelings for someone.
Haaaaaaaaaah π π πmshamba_hachekwi wewe Changamka wewe.
Utakosa kila kitu boya wewe.
Ndio wengi mno, hujakutana nao?Kumbe Kuna wasukuma pure kabisa humu?
Mwanike bejaga kaya duguyung'wa minzeeWa kokaya
Kazi ninayo! Gen zee mko spidi!π«’Mi nimefall, admiration bila kumuona? Hii hapana wacha niendelee kufall.
- Fall in love: To develop strong romantic feelings for someone.