Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Masengerema gete! Ila wewe ni mnyamwezi! Hujui hata kusema kulinda🤣Uli msukuma wa hale ubebe? Maana ulekiyomba haswa haswa gete🤣
Masengerema gete! Ila wewe ni mnyamwezi! Hujui hata kusema kulinda🤣Uli msukuma wa hale ubebe? Maana ulekiyomba haswa haswa gete🤣
Unacheka kibangibangi🫢Haaaaaaaaaah 😃 😀 😄
Wapo ila wanajificha?Ndio wengi mno, hujakutana nao?
Basukuma tole bachangamfu😁Mwanike bejaga kaya duguyung'wa minzee
Hapana ngoja nikutag uzi..Wapo ila wanajificha?
Kumbe wakaya gete? Mshua wane okolile kweneko...?Masengerema gete! Ila wewe ni mnyamwezi! Hujui hata kusema kulinda🤣
OkHapana ngoja nikutag uzi..
No neneKumbe wakaya gete? Mshua wane okolile kweneko...?
KusubiriKulinda??? Ndo unamaanisha nn?
Hahhaa mbona mimi naandika kuongea utachoka😁Huwa kinanisumbua sana hata kuongelea siwezi, ila Cha kuandika ndo mpka niipange sentensi kichwani alaf ndo naiandika.
Seran umenona namna hii! Hata bila kachumbari unalika 🤣 🤣Kazi ninayo! Gen zee mko spidi!🫢View attachment 3596356
Hahaha hapo nikipiga kiwingu nakuwa mwenkunduuu💃🏽Seran umenona namna hii! Hata bila kachumbari unalika 🤣 🤣
Safi gete. Isato na sangala twalaga noiNo nene
Ahaa kweli,Kusubiri
Mimi cha kuongea nitageuka kuwa Mr bean.Hahhaa mbona mimi naandika kuongea utachoka😁
Si mchezo, ukija kama ulivyokuja unakuwa mlainii kwa jinsi unavyoonekana.Hahaha hapo nikipiga kiwingu nakuwa mwenkunduuu💃🏽
Huyu hawezi kuwa weweKazi ninayo! Gen zee mko spidi!🫢View attachment 3596356
Duuuuh kwani mrembo anasemaje🔴 LIVE: BABA MTAKATIFU AMWAGA RADHI KWA MWANADADA SERAN
──────────────────────────
★ Kwa udhamini wa...★
Seran's Peace of Mind™ •
Baba Mtakatifu Rejection Services •
Common Sense Buswelu LTD
Proudly supporting boundaries since 2024
──────────────────────────
Mmm! huo wenkunduuuu natamani kuuona!Hahaha hapo nikipiga kiwingu nakuwa mwenkunduuu💃🏽

tunafuatilia kwa ukaribu kama ambavyo marekani anafuatilia yanayoendelea tanzania.Usicheze mbali, huenda ukaondoka na kitu!
Haaaaaaaaah ashindwe kujiremba tu mwalitunafuatilia kwa ukaribu kama ambavyo marekani anafuatilia yanayoendelea tanzania.
hakika baba mtakatifu , mwali lazima anyakuliwe.Haaaaaaaaah ashindwe kujiremba tu mwali
Napata tabu kuandika nitajieleza vizuri baadae wacha ninyooshe rizla kwanzaNani sasa?
you very desparate, cool down.Nilishakwambia mala Kibao sipendi hii michongo ila unakaza fuvu
Sivutiwi na mwanaume anaepiga kelele sana nina vitu vyangu👊