Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
kwani obhebhe?Ukunibona duhu tuliaga
kwani obhebhe?Ukunibona duhu tuliaga
hahaa sawa mkuuMkuu saivi ni utawala wa Gen z kaa pembeni
Kwamba hawastahili kula tunda kimasiharaVIJANA WA AINA HII...🤔🙄
Ndo walilie kwenye bando letu?Kwamba hawastahili kula tunda kimasihara
Natumia wifi ya taasisiNdo walilie kwenye bando letu?
Eee hawana mambo mengi.hahah mbona nimesema! wa kijijini wanasema?
Duhh kasheshe🤣Eee hawana mambo mengi.
Watoto wa ushago hawana pigo zenu za Sinza.Duhh kasheshe🤣
Kwanini Mkuu kuliko niendelee kula kwa macho ni bora nikafungukaJamaa anafantasy hatari
We hujapata Gen zGenz mmeamua kupenzika kisawasawa!
Nilishakwambia mala Kibao sipendi hii michongo ila unakaza fuvunipo na ShesRise_1 nimetulia nae naona Seran wanamgombania sana humu
Dada hupepesagiNilishakwambia mala Kibao sipendi hii michongo ila unakaza fuvu
Sivutiwi na mwanaume anaepiga kelele sana nina vitu vyangu👊
Ngoja nikuunganishe na Mbaga jr nadhani atakufaaGenz mmeamua kupenzika kisawasawa!
Huyu, hata Mimi nimefall kwenye maandishi nyuma ya keyboard, vp wewe umeshawahi kumuona? au na wewe umefall kwenye maandishi kama Mimi, Kwa tabasamu uliyoiona inaonyesha ni superb .Tangu nijiunge na Jf nimekuwa nikivutiwa sana na wewe
1.Vituko vyako
2.Kujiamini kwako
3.Tabasamu lako😁
4.Wa kishua(umekaa kimjinimjini)
5.Hutaki nginjangija(unajikubali sana)
6.Avatar yako unaonekana ni bonge la totoz na hizo nywele zako za asili nyeusi tiiii
7.Kiukweli usipocomment chochote jf siku yangu inakuwa mbaya sana
8.Nimeamua kuwa mkweli maana kuna mabinti wamenifata PM labda niwaambie tu jamani moyo wangu upo kwa Seran nisiwapotezee muda mtapata wanaowapenda
9.Nitatumia gharama yoyote kumpata Seran
10.Nitamlinda Seran kwa gharama yeyote najua mtamuonea wivu ila niwahakikishie amepata mtu sahihi
Welcoming!!!!!!!!!
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️