Tangu nijiunge na JF nimekuwa nikivutiwa sana na SERAN

Tangu nijiunge na JF nimekuwa nikivutiwa sana na SERAN

Hapa utakuta madogo wanamzikia seran kinoma yapo tayari kufanya lolote wapewe pa kumwagia lakini offline huko kuna mwana akiona text ya seran anaona kero hajibu full kumgrey tick, akitaka mzigo simu moja tu seran anatoka nduki hata nguo ya ndani hakumbuki.....

Nimewaza tu, msinitukane babu yangu kawekewa vikwazo na Marekani.
Kwamba jamaa simu moja tuu bidada anakipeleka 😂
 
Kweli, ndugu mtoa mada fuata utaratibu upate binti wa kisukuma ufurahie maisha. Karibu sana bwana shemeji. 😊
FE29E73C-C440-4EBB-9602-D7213A945E3D.jpeg

😁😁
 
Back
Top Bottom