Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
ACha kunipa matumaini fekiAkirudi tu jukwaa litatulia, usiwaze!
ACha kunipa matumaini fekiAkirudi tu jukwaa litatulia, usiwaze!
Hmm halafu nambless au ndio nachanganyikiwa kabisa?🥴Unamzidi parameters za kawaida tu za kimaisha kama uchumi, elimu, network...
Basi harudi mkuuACha kunipa matumaini feki
Shenji geteeBasi harudi mkuu
Mapenzi nyokho sana!Hmm halafu nambless au ndio nachanganyikiwa kabisa?🥴
Whabeja sana!😏Shenji getee
Mzee, hapana nilishavuka huko!Mapenzi nyokho sana!
Kumbe huku kuna mabinti wanafata vijana PM 😂.8.Nimeamua kuwa mkweli maana kuna mabinti wamenifata PM labda niwaambie tu jamani moyo wangu upo kwa Seran nisiwapotezee muda mtapata wanaowapenda
Nalitogwile sana likima lenelo?[emoji1787]Whabeja sana![emoji57]
Hili ndo shida ya kupendwa sasa yani unamuweka mtu kama pie 22/7 yupo tu anakusubiri ona sasa washaanza kujipendekeza kwako wameshindwa kukuanzishia uzi wanakuja kukutongoza kwenye uzi wangu lo!!l 😃 😀 😄Basi harudi mkuu
Lajimelaga😁Nalitogwile sana likima lenelo?[emoji1787]
Lapotehaga JF , ihaha nalikumbukaga
Daah ila kisukuma!!!
Mbona mimi huwa nawafuata vijana Pm😎
Haaaaaaaaaaah
Kipenzi huwa unanifurahisha sanaMbona mimi nawafuata vijana Pm😎
Na nini jamani?Kipenzi huwa unanifurahisha sana
Seran unachezea vijana wa watu 😁Mbona mimi nawafuata vijana Pm😎
Vituko vyakoNa nini jamani?
Mapenzi mubasharaSi ungemfata tu PM umwagie hizo sifa mi binafs naona kama useng3 fulani hivi