Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 3,775
- 10,094
Endelea tu siku nawewe wakutumie vijana wa kazi wakufanyie kaziNilishaacha!
Endelea tu siku nawewe wakutumie vijana wa kazi wakufanyie kaziNilishaacha!
Sasa huwezi au niniKhee! Umechanganyikiwa naona!
Mleta mada yupo kwenye hatua za mwanzoni za baleghe imaginations zinakuwa kubwa mno ndio maana ndoto nyevu kwao haziishi wakiamka wamechafua mashuka.
Mgoni wanguMleta mada yupo kwenye hatua za mwanzoni za baleghe imaginations zinakuwa kubwa mno ndio maana ndoto nyevu kwao haziishi wakiamka wamechafua mashuka.
Hapo si anakua after profit, hata wewe unaweza kua na demu anakupa maisha au lishangazi linakupa maisha lakini kunakuaga na demu flan ukiwa nae tu unasahau kila kitu kama show unapiga mpaka unasema 'Gudubai', sehemu zingine unaweza kua unapiga kawaida viwili vitatu lakini ukiwa nae huchoki, hailali unaweza tembeza mkuyati overnight.
Kwanza pale tu kufahamu jinsia halisi za members humu ni utata namba moja.Tangu nijiunge na Jf nimekuwa nikivutiwa sana na wewe
1.Vituko vyako
2.Kujiamini kwako
3.Tabasamu lako😁
4.Wa kishua(umekaa kimjinimjini)
5.Hutaki nginjangija(unajikubali sana)
6.Avatar yako unaonekana ni bonge la totoz na hizo nywele zako za asili nyeusi tiiii
7.Kiukweli usipocomment chochote jf siku yangu inakuwa mbaya sana
8.Nimeamua kuwa mkweli maana kuna mabinti wamenifata PM labda niwaambie tu jamani moyo wangu upo kwa Seran nisiwapotezee muda mtapata wanaowapenda
9.Nitatumia gharama yoyote kumpata Seran
10.Nitamlinda Seran kwa gharama yeyote najua mtamuonea wivu ila niwahakikishie amepata mtu sahihi
Welcoming!!!!!!!!!
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Huyo ni tofauti na nliyemaanisha hapo.
Kila mbovu ana mbovu mwenzie
Nilishavuka huko mkuu!Bado hujashkika, weka akiba ya maneno hisia ni kitu fulani nyoko sana.
Si ajabu utaliwa ata kwa chumvi na limao nyingi sanaKama ulikuwepo!View attachment 3596258
Ni yukoje?Huyo ni tofauti na nliyemaanisha hapo.
Tulia baba!Kila mbovu ana mbovu mwenzie
Woohoo💃🏽Si ajabu utaliwa ata kwa chumvi na limao nyingi sana
Atakaekusuprise ni yule ambaye ulikua unamuona kama underdog kwako uliemzidi kila kitu.Nilishavuka huko mkuu!
Akirudi tu jukwaa litatulia, usiwaze!
Namzidije mtu kila kitu mkuu😁Atakaekusuprise ni yule ambaye ulikua unamuona kama underdog kwako uliemzidi kila kitu.
Unamzidi parameters za kawaida tu za kimaisha kama uchumi, elimu, network...Namzidije mtu kila kitu mkuu😁