Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Shenzi😆Kwako sawa
Shenzi😆Kwako sawa
sawa mama mtakatifu dadii kaamka au bado mmelala 😁Haya amka ukafagie uwanja..
Hili jambo liishe weekend hii, baada ya hapo tutaona kama kuna mwendelezo au niajeNdio
Imetokea kwangu sasa mzee, eleweka basi..
Bado bado kama dk 10 hivi..sawa mama mtakatifu dadii kaamka au bado mmelala 😁
Hata usipokuwepo freshy tu, kwani utateseka?Hili jambo liishe weekend hii, baada ya hapo tutaona kama kuna mwendelezo au niaje
okk !Bado bado kama dk 10 hivi..
Sanaa, I'm not a "one time man"!Hata usipokuwepo freshy tu, kwani utateseka?
Hapa utakuta madogo wanamzikia seran kinoma yapo tayari kufanya lolote wapewe pa kumwagia lakini offline huko kuna mwana akiona text ya seran anaona kero hajibu full kumgrey tick, akitaka mzigo simu moja tu seran anatoka nduki hata nguo ya ndani hakumbuki.....Wakulaumiwa n nyege za vijana 😂
Baby girls wngn humu wanatoa stress zao, vijana na nyege zao chap wanapandisha uzi
Umeamkaje kipenzi changu mzuriBado bado kama dk 10 hivi..
Eneo nyeti halijaguswa.So far mmegundua nini?
Nimeshafika kazini kuna hela nimeacha hapo kwenye droo ya kitanda utanunua mboga ipo kama 150KShenzi😆
Mdada wa sinza uko kazini nakuonaNdio Imetokea kwangu sasa mzee, eleweka basi..
Huyo atakua baba mwenye nyumba wake mkuuHapa utakuta madogo wanamzikia seran kinoma yapo tayari kufanya lolote wapewe pa kumwagia lakini offline huko kuna mwana akiona text ya seran anaona kero hajibu full kumgrey tick, akitaka mzigo simu moja tu seran anatoka nduki hata nguo ya ndani hakumbuki.....
Nimewaza tu, msinitukane babu yangu kawekewa vikwazo na Marekani.
Huenda hata ni mshkaji flan tu wa kawaida.Huyo atakua baba mwenye nyumba wake mkuu
Job true trueKazi ipo
Unazinguaaa😂Sanaa, I'm not a "one time man"!
Uwiii hii ni maajabu😆Hapa utakuta madogo wanamzikia seran kinoma yapo tayari kufanya lolote wapewe pa kumwagia lakini offline huko kuna mwana akiona text ya seran anaona kero hajibu full kumgrey tick, akitaka mzigo simu moja tu seran anatoka nduki hata nguo ya ndani hakumbuki.....
Nimewaza tu, msinitukane babu yangu kawekewa vikwazo na Marekani.
Nimeamka poa ba mkali!Umeamkaje kipenzi changu mzuri
Usicheze mbali, huenda ukaondoka na kitu!Eneo nyeti halijaguswa.
Now we are talking 😎Nimeshafika kazini kuna hela nimeacha hapo kwenye droo ya kitanda utanunua mboga ipo kama 150K