Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
recording vn....typing......
recording vn....typing......
Jiachie tusipoteze mda😅Zee la totoz.. pambana huwezi juwa 😅
mwandiko? How jamani!Itakuwa mwandiko wako umemvhanganya
Haujui kuwa miandiko Huwa inanyegesha watu !? 😁😁😁
Halafu unasema haufahamiani nae mbona amesema tabasamu lako linamvutia au ndio vijiti vimemchanganya 😁
wala sitokuchelewesha!LoL 😀
Napoelekea huku utanidunda 😀
mwenyewe unanijua huwa sina muda wa kupoteza, unajizima data tu!Jiachie tusipoteze mda😅
Najua 😀wala sitokuchelewesha!
videoding vn....recording vn....
😁😁😁mwandiko? How jamani!
ijawahi jua zaidi ya kusoma nyuzi za binti wa zamani
Hahaahhaaha labda kwenye emoji...
Waambie hao mkuu.
Mimi jeZee la totoz.. pambana huwezi juwa 😅
Au sio!! No strings attached ila zitakuwa attached tu yanimwenyewe unanijua huwa sina muda wa kupoteza, unajizima data tu!
rudi ukalale..videoding vn....
Aje nimuongeze dose..😁😁😁
Basi itakuwa ni nguvu ya vijiti
Panga foleni tu..Mimi je
Unsupported format 😎rudi ukalale..
hakuna hata kujuana majina tu, nilikuomba mechi ya kirafiki ukanitolea nje, we ngoja tu!Au sio!! No strings attached ila zitakuwa attached tu yani
Haya amka ukafagie uwanja..Unsupported format 😎
Hskuna kazi rahisi namna hiyo, sijawahi kuwa na nyota ya kupendwa/kutakwa.hakuna hata kujuana majina tu, nilikuomba mechi ya kirafiki ukanitolea nje, we ngoja tu!
Kwako sawaPanga foleni tu..
Ndio Imetokea kwangu sasa mzee, eleweka basi..Hskuna kazi rahisi namna hiyo, sijawahi kuwa na nyota ya kupendwa/kutakwa.