Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Hebu usiniharibie kibarua!Mdada wa sinza uko kazini nakuona
Hebu usiniharibie kibarua!Mdada wa sinza uko kazini nakuona
Unataka nifanyeje!!Unazinguaaa😂
Uwii🥴Huyo atakua baba mwenye nyumba wake mkuu
Lols 😂Huenda hata ni mshkaji flan tu wa kawaida.
Hapana huyo anapenda sana mibaba ile ya mabuti makubwaHuenda hata ni mshkaji flan tu wa kawaida.
Stick to the game plan!Unataka nifanyeje!!
Shenzi sana🤣Hapana huyo anapenda sana mibaba ile ya mabuti makubwa
Unajua kuwapapatua wastaafu ule pensheniHebu usiniharibie kibarua!
I set the rules, not you!!Stick to the game plan!
Hatari sana 🤭
Tafuta ata kiserengeti boy kimoja kikuchumishe mboga ikiwezekana toa mpaka connection uzime sakata la ukosefu wa ajira kwa vijanaShenzi sana🤣
Hapo si anakua after profit, hata wewe unaweza kua na demu anakupa maisha au lishangazi linakupa maisha lakini kunakuaga na demu flan ukiwa nae tu unasahau kila kitu kama show unapiga mpaka unasema 'Gudubai', sehemu zingine unaweza kua unapiga kawaida viwili vitatu lakini ukiwa nae huchoki, hailali unaweza tembeza mkuyati overnight.Hapana huyo anapenda sana mibaba ile ya mabuti makubwa
Si ajabu Seran ni mwanamke kibonge tena mweusi kama kiboko ndo maana vijana hawana tyme nae kasoro wazee tuHapo si anakua after profit, hata wewe unaweza kua na demu anakupa maisha au lishangazi linakupa maisha lakini kunakuaga na demu flan ukiwa nae tu unasahau kila kitu kama show unapiga mpaka unasema 'Gudubai', sehemu zingine unaweza kua unapiga kawaida viwili vitatu lakini ukiwa nae huchoki, hailali unaweza tembeza mkuyati overnight.
Bado hujashkika, weka akiba ya maneno hisia ni kitu fulani nyoko sana.Uwiii hii ni maajabu😆
Hayo yapo, ila sio kwangu aisee!😱
Nilishaacha!Unajua kuwapapatua wastaafu ule pensheni
Your request is my command 🙇🏽♀️I set the rules, not you!!
²Shenzi😆
Khee! Umechanganyikiwa naona!Tafuta ata kiserengeti boy kimoja kikuchumishe mboga ikiwezekana toa mpaka connection uzime sakata la ukosefu wa ajira kwa vijana