Tangu nijiunge na JF nimekuwa nikivutiwa sana na SERAN

Tangu nijiunge na JF nimekuwa nikivutiwa sana na SERAN

Tangu nijiunge na Jf nimekuwa nikivutiwa sana na wewe
1.Vituko vyako

2.Kujiamini kwako

3.Tabasamu lako😁

4.Wa kishua(umekaa kimjinimjini)

5.Hutaki nginjangija(unajikubali sana)

6.Avatar yako unaonekana ni bonge la totoz na hizo nywele zako za asili nyeusi tiiii

7.Kiukweli usipocomment chochote jf siku yangu inakuwa mbaya sana

8.Nimeamua kuwa mkweli maana kuna mabinti wamenifata PM labda niwaambie tu jamani moyo wangu upo kwa Seran nisiwapotezee muda mtapata wanaowapenda

9.Nitatumia gharama yoyote kumpata Seran

10.Nitamlinda Seran kwa gharama yeyote najua mtamuonea wivu ila niwahakikishie amepata mtu sahihi
Welcoming!!!!!!!!!
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Baba mtakatifu91 ukifika mbinguni utanieleza kwa upana sawa?
 
hahah mjini tu
Hale lulu mayo? Yombaga duhu ndoho shida gete.
hmm labda ukulie kijijini, au wazazi wawe wanakusemesha sio rahisi kukijua, vinginevyo unaishia kusikia tu!
Hakika, nilikuwa naenda Kwa bibi, basi nakuwa nacheka tu watu wakiwa wanaongea matani Kwa kisukuma. Kisukuma kitamu sana
 
Back
Top Bottom