Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
- Thread starter
- #561
Baada ya kumpata anayempenda ametulia na kamwe hatokuja kunisalitiKwahiyo unanishaurije mkuu
Baada ya kumpata anayempenda ametulia na kamwe hatokuja kunisalitiKwahiyo unanishaurije mkuu
Nakujua ba mkali, wasizoee kabisa!Wasijerudia tena si unanijua vyema mama
Vizuri umewaepushia lawama mamkali alafu mpole mzuri.Nakujua ba mkali, wasizoee kabisa!
hongera mkuuBaada ya kumpata anayempenda ametulia na kamwe hatokuja kunisaliti
Mimi kapole mno bamkali😌Vizuri umewaepushia lawama mamkali alafu mpole mzuri.
Naelewa ndio maana kwako sifurukuti ng'oo mamkali.Mimi kapole mno bamkali😌
Aww 🥰 💃🏽Naelewa ndio maana kwako sifurukuti ng'oo mamkali.
Niwaambie tu hagongewi mtu hapa si mmeniona mi pilipili manga sielewi codeAww 🥰 💃🏽
Ungekuwa mlingotini kwa vigagula ningekunyakua kwa makucha ya mshangaziNipo.bagamoyo
Mitaa ya kwa awadhi
Wakuu oky sina mengi
Eishhh😂 haya twambie umeelewa nini?Niwaambie tu hagongewi mtu hapa si mmeniona mi pilipili manga sielewi code
We jiongeleshe tu halafu nikataliwe, nakufuata wewe!kwel dada huyu yupo vizuri ila shida anachamba kinoma
Unamfataje kaka yakoWe jiongeleshe tu halafu nikataliwe, nakufuata wewe!
Jikute mkaza shingo sasaEishhh😂 haya twambie umeelewa nini?
Dodo ana mazoea sana!Unamfataje kaka yako
Napaswa kukaza nini?Jikute mkaza shingo sasa
Mi nakupenda sana Seran I need to make a perfect combNapaswa kukaza nini?
I know most of Jf members have give up to find a wife material here but for me I'm sure your my right choice. Dear Seran, Let we make our own history, kiss my face and i will kiss your neckNapaswa kukaza nini?
Nilituma picha yake hapaUnaweza kukuta flat screen/hana makebo, mweusi 🖤, sura ngumu