Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
- Thread starter
- #601
Njoo nikunong'onezeKazi ipooo🤣
Njoo nikunong'onezeKazi ipooo🤣
Kumbe nilipoteza furaha na hukuniambia?Ujue katika maisha no one will come and force me to live the way s/he want to live thats why nimekuchagua wewe tu kipenzi changu furahia maisha kuanzia sasa na mpango ni kukufanya uwe binti wa miaka 18 pia nitarejesha ile furaha uliyoipoteza kwa muda mrefu
Enhee🦻🏾Njoo nikunong'oneze
Wachawi wananusa kila konaEnhee🦻🏾
Unadaiwa?Wachawi wananusa kila kona
Hapana jamaa ananusa kila uzi na kutema nyongoUnadaiwa?
Huyo ana shida kwenye ndoa yake muache atakaa sawa tu!Hapana jamaa ananusa kila uzi na kutema nyongo
Ila ndo fresh ukiona mtu anakufatilia ujue umemzidi kitu inawezekana hata mimi kuwa na wewe ni kero kwaoHapana jamaa ananusa kila uzi na kutema nyongo
Huku hawezi kutupataHuyo ana shida kwenye ndoa yake muache atakaa sawa tu!
Kweli kabisa!Huku hawezi kutupata
Pia hao hao wajuzi wa mambo husema "if you can't buy it twice, you can't afford it"ko ng'wani 😅
hahaha kwasababu wote hatujui ndio maana unaona hivyo, wajuvi huwa wanaona wanacheka sana!
Kwanini unadandia treni kwa mbele? Nani kakwambia hapo tulikuwa tunaongelea uwezo?Pia hao hao wajuzi wa mambo husema "if you can't buy it twice, you can't afford it"
Wengi wetu hatujawa na uwezo wa kumiliki vile vitu tunamiliki na kuvihusudu ila tunafanya hivyo kwa sababu tunaamini vitu kama simu, magari , mademu na mavazi zinatuweka kuwa daraja fulani ambalo kiuhailisi hatujafika
Si nilikwambia em tafuta uzi wako wa long tukajificheKwanini unadandia treni kwa mbele? Nani kakwambia hapo tulikuwa tunaongelea uwezo?
Zipo nyingi tu search hapo!Si nilikwambia em tafuta uzi wako wa long tukajifiche
Jamaa kaenda kulalaZipo nyingi tu search hapo!
Alerts ni nini?Sioni allerts zangu au ndo nimepigwa ban
Hapo juu kwenye kikengere cha vibrationAlerts ni nini?
Hukioni?Hapo juu kwenye kikengere cha vibration