Dah kwa standard za sasa you are bit late. But kama ulipitia jkt au wakihutaji watu wa kada fulani unaweza bahatika kwa hiyo age.Habari zenu wanaJF?
Tangu nikiwa mdogo nimekuwa na ndoto za kuwa askari (mwanajeshi), lakini dunia ina mambo mengi, mpaka sasa nimeshindwa kutimiza ndoto hiyo.
Nimeajiriwa lakini sina furaha, why? Kwasababu nafanya kitu ambacho hakipo moyoni mwangu.
Kwasasa nina umri wa miaka 29, kwa umri huu nilionao niachane na hii ndoto ya kuwa askari?
Au bado inawezekana kutimiza ndoto yangu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tanzania kuna watu ambao walipenda kutumikia Jeshi lao (JWTZ) ila wengi wao ndoto zao zimegonga mwamba ama kwa kukutana na watu wasio na uzalendo kusaidia vijana hao kutimiza ndoto zao na kuhitaji rushwa.
Mimi hadi kesho najua ni mwanajeshi wa JWTZ japo juhudi za kujiunga na jeshi ziligonga mwamba kwangu pia ila ninachoamini mimi ni mwanajeshi wao.
Darasa la saba,cjawah pitia, hapana sina familiaElimu yako?
Uliwahi pitia JKT?
Unafamilia inayokutegemea kwa sasa?
Elimu yangu: Shahada ya kwanzaElimu yako?
Uliwahi pitia JKT?
Unafamilia inayokutegemea kwa sasa?
Unamaana gani?Ili uje kututolea ushahidi wa uongo mahakamani?
Sijakuelewa, unaweza kufafanua zaidi?Ili ukateswe na polisi ulete ushahidi wa uongo
Yeah, sometimes hata mimi nahisi hivyo (kuwa nimechelewa). Ila hii kitu inanitesa sana, tena usiombe nikutane na askari wa JWTZ wakiwa kwenye sare zao, huwa nawaangalia mpaka najishtukia.Dah kwa standard za sasa you are bit late. But kama ulipitia jkt au wakihutaji watu wa kada fulani unaweza bahatika kwa hiyo age.
Unajiona wewe ni askari kihisia, sio? Lakini hii inaweza kupelekea watu wakahisi hauko sawasawa kwa kichwa, yaani kitendo cha kujichukulia wewe ni mwanajeshi wakati ni raia wa kawaida.Tanzania kuna watu ambao walipenda kutumikia Jeshi lao (JWTZ) ila wengi wao ndoto zao zimegonga mwamba ama kwa kukutana na watu wasio na uzalendo kusaidia vijana hao kutimiza ndoto zao na kuhitaji rushwa.
Mimi hadi kesho najua ni mwanajeshi wa JWTZ japo juhudi za kujiunga na jeshi ziligonga mwamba kwangu pia ila ninachoamini mimi ni mwanajeshi wao.
Poa buradha!!!Ndoto nn dogo acha zako piga kazi
Dont cross 31 man.. ukivuka hiyo focus shughuli mingineYeah, sometimes hata mimi nahisi hivyo (kuwa nimechelewa). Ila hii kitu inanitesa sana, tena usiombe nikutane na askari wa JWTZ wakiwa kwenye sare zao, huwa nawaangalia mpaka najishtukia.