Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,742
- 1,558
[emoji2960]Tanzania kuna watu ambao walipenda kutumikia Jeshi lao (JWTZ) ila wengi wao ndoto zao zimegonga mwamba ama kwa kukutana na watu wasio na uzalendo kusaidia vijana hao kutimiza ndoto zao na kuhitaji rushwa.
Mimi hadi kesho najua ni mwanajeshi wa JWTZ japo juhudi za kujiunga na jeshi ziligonga mwamba kwangu pia ila ninachoamini mimi ni mwanajeshi wao.