Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,742
- 1,558
[emoji2960]Tanzania kuna watu ambao walipenda kutumikia Jeshi lao (JWTZ) ila wengi wao ndoto zao zimegonga mwamba ama kwa kukutana na watu wasio na uzalendo kusaidia vijana hao kutimiza ndoto zao na kuhitaji rushwa.
Mimi hadi kesho najua ni mwanajeshi wa JWTZ japo juhudi za kujiunga na jeshi ziligonga mwamba kwangu pia ila ninachoamini mimi ni mwanajeshi wao.
Afya?Elimu yangu: Shahada ya kwanza
JKT: mujibu wa sheria
Familia inayonitegemea: Wazazi na ndugu wengine (Marital status: Single)
hahahahahahahahhahaTanzania kuna watu ambao walipenda kutumikia Jeshi lao (JWTZ) ila wengi wao ndoto zao zimegonga mwamba ama kwa kukutana na watu wasio na uzalendo kusaidia vijana hao kutimiza ndoto zao na kuhitaji rushwa.
Mimi hadi kesho najua ni mwanajeshi wa JWTZ japo juhudi za kujiunga na jeshi ziligonga mwamba kwangu pia ila ninachoamini mimi ni mwanajeshi wao.
Duuuh, kwahiyo nina miaka miwili ya kupambania kombe. Miaka miwili inaonekana ni mingi kimtindo, ila i see no hope mzee, tatizo la ajira limefanya huko jeshini kuwe kama peponi.Dont cross 31 man.. ukivuka hiyo focus shughuli mingine
Niko timamu kimwili na kiakili.Afya?
Omba Sana.Niko timamu kimwili na kiakili.
InategemeaSikuhz ndoto kubwa n kpato na kipaji
Sio kaz za kuajiriwa tena
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Sawa.Omba Sana.
Unaona ni mingi? We subir usipoweza kujipenyeza at hiyo 2 yrs game over.Duuuh, kwahiyo nina miaka miwili ya kupambania kombe. Miaka miwili inaonekana ni mingi kimtindo, ila i see no hope mzee, tatizo la ajira limefanya huko jeshini kuwe kama peponi.
Wewe endelea kuniona siko sawa kichwani uje kujichanganya utajua kuwa hii nchi ina wanajeshi wengi kuliko raia.Unajiona wewe ni askari kihisia, sio? Lakini hii inaweza kupelekea watu wakahisi hauko sawasawa kwa kichwa, yaani kitendo cha kujichukulia wewe ni mwanajeshi wakati ni raia wa kawaida.
Ajichanganye katika mazingira gani?Wewe endelea kuniona siko sawa kichwani uje kujichanganya utajua kuwa hii nchi ina wanajeshi wengi kuliko raia.
WanajWewe endelea kuniona siko sawa kichwani uje kujichanganya utajua kuwa hii nchi ina wanajeshi wengi kuliko raia.
Kuwa mwanajeshi sio kujua kupigana, wapo wengi tu mdebwedo wanapigwa makofi mitaani tena na waleviWewe endelea kuniona siko sawa kichwani uje kujichanganya utajua kuwa hii nchi ina wanajeshi wengi kuliko raia.