Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Kwa hiyo pesa ni sumaku?Zikiisha pesa awatakupenda
Matumizi mabaya ya viungoPiga nyeto.
GundiKwa hiyo pesa ni sumaku?
Nyeto huokoa pesa.Matumizi mabaya ya viungo
Zikiisha ndo utajua hawakuwahi kukupenda wewe, ila pesa yako tuKwa sasa nataka nitulie na mmoja tu, wengine sitaki wanipende tena.
Kujua tatizo ni nusu ya kutatua tatizo. Maadam umejua shida, mwombe Mwenyezi Mungu akusaidie kushinda jaribu lakoKila ninachokipata kinapotea kwenye mazingira yasiyoeleweka, kichwa kikuu kimeshindwa kabisa kufanya maamuzi magumu ya kuzuia pesa isipotee.
Maendeleo yangu yamekuwa ni yakusua sua, wakati mwingine naonekana kama vile nimechanganikiwa, wazee wenzangu hawanipi heshima tena kama mwanzo.
Sasa wakuu, nitumie njia gani kurejesha uchumi, heshima, utulivu wa akili n.k nilivyokuwa navyo kabla ya kupendwa na wanawake?
Kwa sasa nataka nitulie na mmoja tu, wengine sitaki wanipende tena.
JF VAR CHECKUnaweza kumshauri huyu jamaa halafu kesho akaja na Uzi Unaosema “NINA KILO MIA ZA MAHARAGE NATAFUTA MDADA WA KULA NAE “
Hii kama inaingia hivi??umeitoa wapi hiiiKila tatizo ambalo unahsi analo mwanadamu,basi asilimia 75 amejitakia mwenyewe.