Tangu nimuoe hataki tufanye tendo la ndoa nyakati za mchana

Mzee nazi

Senior Member
Joined
Dec 10, 2018
Posts
121
Reaction score
173
Ndugu zangu salam sana, nina mwanamke niliyemuoa takriban mwaka sasa. Shida imejitokeza, tangu nimuoe hataki tufanye tendo nyakati za mchana, atatoa kisingizio chochote cha kuumwa ili mradi asiliwe mchana. Ikifika usiku pia hataki mwanga wa taa yeyote tunapofanya tendo. Ninashindwa kumuelewa, ndivyo alivyo? au kuna kitu anakifanya na kunificha bila mimi kujua? Msaada wa mawazo please.
 
Kadai mahari haraka sana
 
Ukifanya nae huo Usiku unakojoa? Kama ndiyo we endelea tu acha kusumbukia visivyokuwa na faida ipo siku ikifika utainyoa
 
Yewezekana, ila angeniambia asinifiche

Kuambiwa huja kwa namna mbili...

1. Mtu kwa hiari yake anaamua kukwambia kwa sababu anataka kukupa taarifa/kukushirikisha taarifa

2. Mtu anaamua kukwambia kwa sababu kahitajika kutoa taarifa/maelezo baada ya kuulizwa...

Je, umetumia nguvu gani kutaka kujua?
 
Ndugu zangu salam sana, nina mwanamke niliyemuoa takriban mwaka sasa. Shida imejitokeza, tangu nimuoe hataki tufanye tendo nyakati za mchana, atatoa kisingizio chochote cha kuumwa ili mradi asiliwe mchana. Ikifika usiku pia hataki mwanga wa taa yeyote tunapofanya tendo. Ninashindwa kumuelewa, ndivyo alivyo? au kuna kitu anakifanya na kunificha bila mimi kujua? Msaada wa mawazo please.
Ni wahindi tu wenye leseni ya kunyanduana mchana.

Wee unataka kunyandua mchana umekuwa jogoo? Jogoo ndio hanyandui usiku
 
Ndugu zangu salam sana, nina mwanamke niliyemuoa takriban mwaka sasa. Shida imejitokeza, tangu nimuoe hataki tufanye tendo nyakati za mchana, atatoa kisingizio chochote cha kuumwa ili mradi asiliwe mchana. Ikifika usiku pia hataki mwanga wa taa yeyote tunapofanya tendo. Ninashindwa kumuelewa, ndivyo alivyo? au kuna kitu anakifanya na kunificha bila mimi kujua? Msaada wa mawazo please.
Hamuogi pamoja? Au mnaoga gizani?
 
Kuambiwa huja kwa namna mbili...

1. Mtu anaamua kukwambia kwa sababu anataka kukupa taarifa/kukushirikisha taarifa

2. Mtu anaamua kukwambia kwa sababu kahitajika kutoa taarifa/maelezo baada ya kuulizwa...

Je, umetumia nguvu gani kutaka kujua?
Nimejitahidi kumuuliza kama kuna shida yeyote, anasema yeye anapenda iwe hivyo.
 
Back
Top Bottom