Tangu nimuoe hataki tufanye tendo la ndoa nyakati za mchana

Tangu nimuoe hataki tufanye tendo la ndoa nyakati za mchana

Asa umekuja kulalamikia nin huku nyambafu
Jifunze kiswahili kijana, tofautisha lawama na taarifa.
Mi sijalalamika nimemwambia mleta uzi situation kama yake ni ya kawaida tu wengi hufanya vitu vya namna hiyo.

Tafadhari ndgu uwapo katika kadamnasi jitahidi kuficha ujinga wako.
 
Anaogopa wewe mmewe kuona mbususu yake lakini siku akienda kujifungua wakunga wataona mbususu yoteee bila kipingamizi
 
Ndugu zangu salam sana, nina mwanamke niliyemuoa takriban mwaka sasa. Shida imejitokeza, tangu nimuoe hataki tufanye tendo nyakati za mchana, atatoa kisingizio chochote cha kuumwa ili mradi asiliwe mchana. Ikifika usiku pia hataki mwanga wa taa yeyote tunapofanya tendo. Ninashindwa kumuelewa, ndivyo alivyo? au kuna kitu anakifanya na kunificha bila mimi kujua? Msaada wa mawazo please.
Ulitoa mahari kweli au ulipewa bure. Kama ulitoa mahari. Nenda kadai chapu
 
Back
Top Bottom