Kadai mahari haraka sanaNdugu zangu salam sana, nina mwanamke niliyemuoa takriban mwaka sasa. Shida imejitokeza, tangu nimuoe hataki tufanye tendo nyakati za mchana, atatoa kisingizio chochote cha kuumwa ili mradi asiliwe mchana. Ikifika usiku pia hataki mwanga wa taa yeyote tunapofanya tendo. Ninashindwa kumuelewa, ndivyo alivyo? au kuna kitu anakifanya na kunificha bila mimi kujua? Msaada wa mawazo please.
Ilikuwaje sasa ukamuoa kabla ya kuonja?Hapana, nilikuta ishatolewa muda
Ukifanya nae huo Usiku unakojoa? Kama ndiyo we endelea tu acha kusumbukia visivyokuwa na faida ipo siku ikifika utainyoaNdugu zangu salam sana, nina mwanamke niliyemuoa takriban mwaka sasa. Shida imejitokeza, tangu nimuoe hataki tufanye tendo nyakati za mchana, atatoa kisingizio chochote cha kuumwa ili mradi asiliwe mchana. Ikifika usiku pia hataki mwanga wa taa yeyote tunapofanya tendo. Ninashindwa kumuelewa, ndivyo alivyo? au kuna kitu anakifanya na kunificha bila mimi kujua? Msaada wa mawazo please.
Yewezekana, ila angeniambia asinifiche
Ni wahindi tu wenye leseni ya kunyanduana mchana.Ndugu zangu salam sana, nina mwanamke niliyemuoa takriban mwaka sasa. Shida imejitokeza, tangu nimuoe hataki tufanye tendo nyakati za mchana, atatoa kisingizio chochote cha kuumwa ili mradi asiliwe mchana. Ikifika usiku pia hataki mwanga wa taa yeyote tunapofanya tendo. Ninashindwa kumuelewa, ndivyo alivyo? au kuna kitu anakifanya na kunificha bila mimi kujua? Msaada wa mawazo please.
Hamuogi pamoja? Au mnaoga gizani?Ndugu zangu salam sana, nina mwanamke niliyemuoa takriban mwaka sasa. Shida imejitokeza, tangu nimuoe hataki tufanye tendo nyakati za mchana, atatoa kisingizio chochote cha kuumwa ili mradi asiliwe mchana. Ikifika usiku pia hataki mwanga wa taa yeyote tunapofanya tendo. Ninashindwa kumuelewa, ndivyo alivyo? au kuna kitu anakifanya na kunificha bila mimi kujua? Msaada wa mawazo please.
Nimejitahidi kumuuliza kama kuna shida yeyote, anasema yeye anapenda iwe hivyo.Kuambiwa huja kwa namna mbili...
1. Mtu anaamua kukwambia kwa sababu anataka kukupa taarifa/kukushirikisha taarifa
2. Mtu anaamua kukwambia kwa sababu kahitajika kutoa taarifa/maelezo baada ya kuulizwa...
Je, umetumia nguvu gani kutaka kujua?