Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

Pana watu wapo bar wanabeti,wengine ofisi zao madili Yao bar kijiwe Cha kukutana kusaini au kujaza documents, wengine biashara zao zipo online wanaingiza pesa wakiwa bar, wengine alfajiri wanafunga hesabu mfano wauza ticket mabus,madalali sokoni
yaani mkuu kabisa upo hapa unasisitiza eti watu "wabet" ndio watapata maendeleo?

duh

we have long way to go
 
Sisi ndyo tumewapaa sabbu ya kuamini kwenye pesa bila ubabe na kuamua hutatoboaa apo kamaa unaweza tfuta connection mkoa mwingine ataa kazi ya kawaida kabisa tafuta Mali mliyonayo apo uza ondoka ata usiage katafute maisha yakko mbele ukiendelea kukaa apo wallaah utapata kessi ya mauwaji au kujerui ukajikuta jela
Fuata kipande hiki cha ushauri utashukuru baadae
 
Pana watu wapo bar wanabeti,wengine ofisi zao madili Yao bar kijiwe Cha kukutana kusaini au kujaza documents, wengine biashara zao zipo online wanaingiza pesa wakiwa bar, wengine alfajiri wanafunga hesabu mfano wauza ticket mabus,madalali sokoni
Tatizo kuna watu wamekariri kua ili upate riziki yako lazima uajiriwe kwenye mfumo wa 8 to 5! Unaamka asubuhi,saa mbili unaingia kwa muhindi unapiga kazi hadi saa 11 Jioni unarudi zako home! Maisha mengine zaidi ya hayo hawawezi kabisa!!
 
Huwezi ijua Tabia ya mke wake ni hadi utakapokuwa huna pesa
Hadi Marafiki huwezi jua tabia zao ukiwa uko njema sana, maana wengi wanakua Kama chawa tu kwako,hata ukijamba bado watasifia ushuzi wako wanukia! Ngoja uchache Sasa ndiyo utajua kua ushuzi wako wanuka wala haunukiii!!
 
Back
Top Bottom