Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

Pana watu wapo bar wanabeti,wengine ofisi zao madili Yao bar kijiwe Cha kukutana kusaini au kujaza documents, wengine biashara zao zipo online wanaingiza pesa wakiwa bar, wengine alfajiri wanafunga hesabu mfano wauza ticket mabus,madalali sokoni
yaani mkuu kabisa upo hapa unasisitiza eti watu "wabet" ndio watapata maendeleo?

duh

we have long way to go
 
Fuata kipande hiki cha ushauri utashukuru baadae
 
Pana watu wapo bar wanabeti,wengine ofisi zao madili Yao bar kijiwe Cha kukutana kusaini au kujaza documents, wengine biashara zao zipo online wanaingiza pesa wakiwa bar, wengine alfajiri wanafunga hesabu mfano wauza ticket mabus,madalali sokoni
Tatizo kuna watu wamekariri kua ili upate riziki yako lazima uajiriwe kwenye mfumo wa 8 to 5! Unaamka asubuhi,saa mbili unaingia kwa muhindi unapiga kazi hadi saa 11 Jioni unarudi zako home! Maisha mengine zaidi ya hayo hawawezi kabisa!!
 
Huwezi ijua Tabia ya mke wake ni hadi utakapokuwa huna pesa
Hadi Marafiki huwezi jua tabia zao ukiwa uko njema sana, maana wengi wanakua Kama chawa tu kwako,hata ukijamba bado watasifia ushuzi wako wanukia! Ngoja uchache Sasa ndiyo utajua kua ushuzi wako wanuka wala haunukiii!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…