let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Kwa uandishi wako inaonyesha nyuma ya keypad wewe ni mtu wa majuto makubwa ambayo chanzo chake ni mtindo wako wa maisha ujanani..Mi nishakuwaga muwazi, nimemwambia kabisa mtu wangu mimi niko hivyo akiona hawezi Aende atafute mtu mwingine aoe sina cha kupoteza mimi.
Olacle anaendelea kusema:- "huna Mme ila una mshakaji/washikaji ambao unajua fika muda wowote wataondoka(kukuacha) kama wale wengine walivyoondoka"...hali hiyo imekufanya uwe MBINAFSI na mtu wa kujihami hasa pindi upatapo mpenzi(hawala) ukimbilia kutapanya mali ZAKE ukijua fika kuwa "hata usipotapanya pesa zake bado Atakuacha tu" .
HATIMA YAKO.
nimechunguza na kuangalia, olacle anasema" huta kuja kuiona amani furaha maishani mwako labda nyuma ya keypads".
THIS IS WHAT I HAVE SEEN