LGE2024 Tangu nizaliwe sijaona uchaguzi wa serikali za mitaa uliogubikwa na aibu kubwa kama huu wa mwaka 2024

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Vyama vya upinzani vilikosea sana kukubali huu mtindo wa watu kujiandikisha badala ya watu kutumia kadi zao za kupigia kura.
Kadi ya kupiga kura inasaidia nini Kama wagombea wako wamekatwa wote?
 
Waambie ukweli Hawa machawa hawaelewi kitu chochote kabisa mwamba!
 
Umewapiga spana sawasawa kiongozi! Mashetani makubwa sana! Maccm!!!!!!
 
mimi nilienda kupiga kura, kufika pale nikaona napewa karatasi tu moja kwa moja, bila kukaguliwa majina kuona kama na mimi nilistahili kupiga kura. nikauliza mbona mna mnataka niendelee bila kuhakiki jina langu, au hamhakiki majina? wakajifanya kujibaraguza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…