Kadi ya kupiga kura inasaidia nini Kama wagombea wako wamekatwa wote?Vyama vya upinzani vilikosea sana kukubali huu mtindo wa watu kujiandikisha badala ya watu kutumia kadi zao za kupigia kura.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kadi ya kupiga kura inasaidia nini Kama wagombea wako wamekatwa wote?Vyama vya upinzani vilikosea sana kukubali huu mtindo wa watu kujiandikisha badala ya watu kutumia kadi zao za kupigia kura.
Waambie ukweli Hawa machawa hawaelewi kitu chochote kabisa mwamba!Wananchi walijitokeza kujiandikisha ili wawachague viongozi watakaowaletea maendeleo lakini kinyume chake yametokea mambo ya hovyo tena ya hovyo katika uchaguzi huu.
Wagombea wanapigwa risasi, wengine wanakatwa mapanga ili Chama fulani kitimize malengo yake. Hii ni AIBU kubwa wakati tuna viongozi wa nchi tuliowachagua kwa upendo lakini bado kunatokea aibu kama hii.
Wazee mpaze sauti,. Mzee Butiku na wengineo mpaze sauti. Mababa Askofu, Mashehe pazeni sauti
Tunapokwenda siyo kuzuri.
Umewapiga spana sawasawa kiongozi! Mashetani makubwa sana! Maccm!!!!!!Tatizo kuna wajinga wajinga akili zao ndogo sana wako ikulu wamemuaminisha mama kizimkazi kuwa dawa ya wapunzani ni kutumia nguvu tu sio wa kuwachekea hawa , na kwa vile huyu mama naye akili zina fanana na walio mzunguka kaamini kuwa hiyo ndiyo njia salama kwake. Wacha tuone mwisho wake nani atanuka mavi.
Maccm yanamiliki mpaka na kutawala kuzimu! Aisee!!!!Marehemu wanapiga kula sjui wamefufuka
mimi nilienda kupiga kura, kufika pale nikaona napewa karatasi tu moja kwa moja, bila kukaguliwa majina kuona kama na mimi nilistahili kupiga kura. nikauliza mbona mna mnataka niendelee bila kuhakiki jina langu, au hamhakiki majina? wakajifanya kujibaraguza.Wananchi walijitokeza kujiandikisha ili wawachague viongozi watakaowaletea maendeleo lakini kinyume chake yametokea mambo ya hovyo tena ya hovyo katika uchaguzi huu.