Tangu nizaliwe sijashuhudia tukio kama hili lililofanyika katika kijiji cha Utegi

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
1,289
Reaction score
2,199
Wanajeshi wa Ulinzi wa Wananchi wamechukua eneo iliyokuwa shamba la mifugo la Utegi bila ridhaa kwa kuwa Shamba hili tayari ilikwishagawiwa kwa wananchi wa Vijiji vinavyozunguka shamba hilo. Malipo kwa Serikali iliikwishafanyika na shamba ilikabaki mikononi mwa vijiji hivyo.

Ghafla katika utawala wa Awamu ya Tano tukaona wanajeshi wanakuja kukarabati majengo yaliyokuwa ya kiwanda hicho na baadaye wakawatangazia wananchi kuwa watahama na watalipwa.

Wamewalipa wananchi malipo yasiyooendana na thamani ya majengo yao na mbaya zaidi hawakuwalipa ardhi yao. Wamewapa wananchi notisi ya kuhama na kuwaeleza wasichukue chochote kama kuezua mabati, matofali nk.

Wananchi tulifungua kesi Mahakama Kuu na kesi bado inaendelea na Jaji aliamuru kuwa wananchi waendelee kukaa pale mpaka hukumu ya kesi itakaposomwa lakini cha ajabu wananchi wamefukuzwa pale badala ya kusubiri hatma ya kesi.

Wananchi waliwaeleza kuhusu malipo ya makaburi lakini hawakuwasikiliza wananchi na cha ajabu juzi wamekuja na greda wameanza kufukua makaburi pasipokuwa na utaratibu wowote. Kaburi linafukuliwa na greda kwa nguvu sanduku lilibeba maiti wanaliponda na maiti kubaki wazi. Kaka yangu tumemzika mwaka 2022 walipomfukua wakabomoa sanduku wakamtoa wakamweka pembeni mwa kaburi bila utaratibu wowote. Tumemkuta Kaka yangu yuko vile vile na suti yake na hajaoza ikabidi tuchukue utaratibu tena wa kumzika.

Tangu nizaliwe sijaona unyama kama huu kama walivyotendewa wananchi wa Utegi. Hata hivyo maiti anatakiwa apewe heshima. Haya yanafanyika Serikali ipo na hakuna kukemea. Tunaiomba Serikali iunde Tume kuhusiana na suala hili na lije na jibu litakalowaridhisha wananchi wa Utegi.
 
Utegi ni wapi?
 
Tulikubaliana wanajeshi wetu ni wazalendo, wana weledi, utu na heshima hata rushwa hawali. Kwanza hiyo Utegi ipo wapi?
 
Haichekeshi ila swala la mtu kuzikwa toka 2022 kisha unaskia.

"Tumemkuta Kaka yangu yuko vile vile na suti yake na hajaoza ikabidi tuchukue utaratibu tena wa kumzika."

Ni noma aisee!
 
Wanajeshi wa Ulinzi wa Wananchi wamechukua eneo iliyokuwa shamba la mifugo la Utegi bila ridhaa kwa kuwa Shamba hili tayari ilikwishagawiwa kwa wananchi wa Vijiji vinavyozunguka shamba hilo. Malipo kwa Serikali iliikwishafanyika na shamba ilikabaki mikononi mwa vijiji hivyo.

Ghafla katika utawala wa Awamu ya Tano tukaona wanajeshi wanakuja kukarabati majengo yaliyokuwa ya kiwanda hicho na baadaye wakawatangazia wananchi kuwa watahama na watalipwa.

Wamewalipa wananchi malipo yasiyooendana na thamani ya majengo yao na mbaya zaidi hawakuwalipa ardhi yao. Wamewapa wananchi notisi ya kuhama na kuwaeleza wasichukue chochote kama kuezua mabati, matofali nk.

Wananchi tulifungua kesi Mahakama Kuu na kesi bado inaendelea na Jaji aliamuru kuwa wananchi waendelee kukaa pale mpaka hukumu ya kesi itakaposomwa lakini cha ajabu wananchi wamefukuzwa pale badala ya kusubiri hatma ya kesi.

Wananchi waliwaeleza kuhusu malipo ya makaburi lakini hawakuwasikiliza wananchi na cha ajabu juzi wamekuja na greda wameanza kufukua makaburi pasipokuwa na utaratibu wowote. Kaburi linafukuliwa na greda kwa nguvu sanduku lilibeba maiti wanaliponda na maiti kubaki wazi. Kaka yangu tumemzika mwaka 2022 walipomfukua wakabomoa sanduku wakamtoa wakamweka pembeni mwa kaburi bila utaratibu wowote. Tumemkuta Kaka yangu yuko vile vile na suti yake na hajaoza ikabidi tuchukue utaratibu tena wa kumzika.

Tangu nizaliwe sijaona unyama kama huu kama walivyotendewa wananchi wa Utegi. Hata hivyo maiti anatakiwa apewe heshima. Haya yanafanyika Serikali ipo na hakuna kukemea. Tunaiomba Serikali iunde Tume kuhusiana na suala hili na lije na jibu litakalowaridhisha wananchi wa Utegi.
Tulia andika vizuri
 
Kwahiyo unajifanya kushangaa kama vile wewe sio Mtanzania?

Au kwa vile yalikuwa yanawakuta wengine wewe unaona hayakuhusu. Sasa umeguswa ndio unajifanya hujawahi kuona?

Mnafiki!
 
Kigamboni tuna kesi na hao jamaa, hilo eneo walikuwa wanakuja kwa wenyeji kufanya mazoezo ya shabaha wakimaliza wanaondoka, baadae wenyeji wakaanza kuuza maeneo yao, nami nikiwa mmoja wa wanunuzi, nikanunua ekali 2, wengine wakaanza na ujenzi na kilimo, hao jamaa wakavamia na kuvunja majumba ya watu, haribu mazao na wakapiga marufuku kwa raia kusogea, baada ya kufatilia kwa muda mrefu, tukaona tufungue kesi....
 
Wanajeshi wa Ulinzi wa Wananchi wamechukua eneo iliyokuwa shamba la mifugo la Utegi bila ridhaa kwa kuwa Shamba hili tayari ilikwishagawiwa kwa wananchi wa Vijiji vinavyozunguka shamba hilo. Malipo kwa Serikali iliikwishafanyika na shamba ilikabaki mikononi mwa vijiji hivyo.

Ghafla katika utawala wa Awamu ya Tano tukaona wanajeshi wanakuja kukarabati majengo yaliyokuwa ya kiwanda hicho na baadaye wakawatangazia wananchi kuwa watahama na watalipwa.

Wamewalipa wananchi malipo yasiyooendana na thamani ya majengo yao na mbaya zaidi hawakuwalipa ardhi yao. Wamewapa wananchi notisi ya kuhama na kuwaeleza wasichukue chochote kama kuezua mabati, matofali nk.

Wananchi tulifungua kesi Mahakama Kuu na kesi bado inaendelea na Jaji aliamuru kuwa wananchi waendelee kukaa pale mpaka hukumu ya kesi itakaposomwa lakini cha ajabu wananchi wamefukuzwa pale badala ya kusubiri hatma ya kesi.

Wananchi waliwaeleza kuhusu malipo ya makaburi lakini hawakuwasikiliza wananchi na cha ajabu juzi wamekuja na greda wameanza kufukua makaburi pasipokuwa na utaratibu wowote. Kaburi linafukuliwa na greda kwa nguvu sanduku lilibeba maiti wanaliponda na maiti kubaki wazi. Kaka yangu tumemzika mwaka 2022 walipomfukua wakabomoa sanduku wakamtoa wakamweka pembeni mwa kaburi bila utaratibu wowote. Tumemkuta Kaka yangu yuko vile vile na suti yake na hajaoza ikabidi tuchukue utaratibu tena wa kumzika.

Tangu nizaliwe sijaona unyama kama huu kama walivyotendewa wananchi wa Utegi. Hata hivyo maiti anatakiwa apewe heshima. Haya yanafanyika Serikali ipo na hakuna kukemea. Tunaiomba Serikali iunde Tume kuhusiana na suala hili na lije na jibu litakalowaridhisha wananchi wa Utegi.
Pole Mkuu.
Umedai Shamba lilikuwa la Serikali kwa ajili ya Ufugaji WanaVijiji mkajitwalia mkajenga mkaishi. Serikali ikaja ikawafidia uwekezaji wenu yaani ardhi siyo yenu. Hapa kosa ni lipi??

Pili umedai Hilo shamba mmefidiwa tokea awamu ya tano yaani 2021 kurudi nyuma. Sasa wewe ukijua ushafidiwa eneo hilo kwanini 2022 umeenda kuzika hapo kaka yako?? Na leo unataka ufidiwe?? Shiiit

Anyway tusipende kutafufa huruma ya Umma wakati mwingine ukipambana na Mamlaka utaumia na kupoteza Muda ambao ungezalisha mali. Nenda katafute ardhi yako hiyo mlivamia ardhi ya Umma!
 
Chini ya Manager Asewe Wakenye ka-Ratego 😀 😀 , machiegni wago kuon mwalo dip ka dala ka-Wakenye ka, wan gi Ogungu ka gi wuod Ombuoro gi Manager Asewe..
 
Back
Top Bottom