Tangu nizaliwe sijashuhudia tukio kama hili lililofanyika katika kijiji cha Utegi

Tangu nizaliwe sijashuhudia tukio kama hili lililofanyika katika kijiji cha Utegi

Kwa wasiofahamu Kijiji cha Utegi kiko Mkoa wa Mara, Wilaya ya Rorya, Kata ya Koryo. Inasikitisha sana kwa kitendo kilichotokea. Wananchi hawakulipwa zoezi la uhamishaji wa makaburi hayo na hata ardhi yao hawakulipwa. Kesi iko Mahakamani na Mhe. Jaji kaamuru kuwa wananchi waendelee kuishi katika maeneo yao mpaka hapo hukumu itakapotolewa. Bado kuna kukaidi. Inasikitisha sana. Tumuachie Mungu na yote yatapita.
 
Back
Top Bottom