Tangu sasa nitakuwa namfuatilia sana Rayvanny kwenye Digital Platforms zote

Na jamaa ana kipaji cha kuigiza sana
Sanaaa....sema mwamba anakosa location makini , hata director wake somtyme anakosa ample time ya kuupitia wimbo vizur ili ajue Kona zipi za kibabe video ipite, nyimbo zake zinahtaj pesa ndefu Sana ili kutoa video konki, mfano uwekezaji alioufanya mond kwenye video ya nitampata wapi ulitakiwa ufanyike pia Kwa nyimbo kama hzi ......
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ametaja tena kwenye wimbo mpya!? Atakosa mashabiki wasiopenda matembele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hajataja tembele ha haa haaa
 
sisi wenye aborder tunacoment wapi? anyway mkuu hongera kwa kumiliki sony
Hzo zote aborder , alipu nishawah miliki , boofer hzo huwez kupata ladha ya mziki ambao upo balanced , hayo yanaponda Tu .... Sony na some how LG mziki unatoka umechujwa safi kabisa ,....ni kampuni bora Sana Kwa home theater aisee
 
Napenda snaa mashairi yake asee

Ivi wimbo aloomba " hatucheki na nyani tusijevuna mabua,
Mke nampa pesa w unaleta maua "
Unaitwaje?
Mashairi yanapatikana kwenye wimbo wa Jay Rox wa Zambia unaitwa 'Distance', ameshirikishwa Rayvanny na Ay
 
Nimekuelewa sanaaaa[emoji95][emoji95][emoji95]
 
Mzee wa kazi, kuna chuma kinaitwa Hanstone.
Hanstone siwezi kusema kama tayari yupo WCB na kingine huwezi kumpima msanii studio. Unampeleka Live ili uone kama ana talent au ni studio artist
 
Ni kweli jamaa anajua kwenye nyimbo za taratibu ila aache kutajataja matembele kwenye kila wimbo.
Amwambie na mdogo wake mboso aache kututajia mbaazi kila wimbo😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…