Tangu sasa nitakuwa namfuatilia sana Rayvanny kwenye Digital Platforms zote

Tangu sasa nitakuwa namfuatilia sana Rayvanny kwenye Digital Platforms zote

Rayvanny ni mkali sana wa mashairi ......ila tuwe fair kidogo kwenye huu wimbo wake wa Number one Zuchu kamkalisha vanny boy
Haka kazuchu kameimba vizuri kuliko yeye
Ukweli kamkalisha , ubunifu wa mashairi na Ulinganifu wa vina na mizani , Zuchu alitulia
 
Kwa kitu gani kipya [emoji16][emoji23][emoji16][emoji16] kwa kuwa anatumia mkorogo wa demu wake
 
Mi namuonaga kama muimba kwaya tu wa sunday scul.
Kwaya sa hv ndo zinaimba bongofleva , sidhan kama wimbo wa rayvany ukigongwa kanisan unasound vyema , kwaya zinaimba bongofleva thus why bongo fleva inaonekana kama kwaya , ....
Wakiimba matusi na ladha za kinigeria ndo mtaita bongo fleva au mtaponda tena ? Makanisan yanayoimba mfumo wa kwaya ni Wasabato na Wakatoliki tuu, wengine wote wanacheza rhumba the same to bongofleva
 
Me kwangu pale WCB naona Mbosso ndiyo mkali wa nyimbo za mapenzi, #FALL
 
Back
Top Bottom