Tangu Soka lianze hadi leo hii, Kuna Mchezaji yeyote aliyefikia kiwango cha Maradona au Messi?

Tangu Soka lianze hadi leo hii, Kuna Mchezaji yeyote aliyefikia kiwango cha Maradona au Messi?

Namkubali mno Maradona, Ila sio kama ninavyomkubali Pele, lakini kwa sasa Ronaldo ni zaidi.
 
Ni sahihi, mkitaka kujua viwango vya mess mwangalieni akicheza nje ya barca (timu ya taifa)
 
Majadiliano kama haya yangejenga timu bora ya Taifa letu.Hapo hamwezi kufikia mwisho hata siku moja.Maana wote tunaendeshwa na mapenzi.Tuna ukwepa uhalisia..na ndio maana hata soka letu na mafanikio yapo kama hizo comments zetu.
 
Ukweli ni kwamba kila mtu atabaki kuwa bora kwa muda wake.Wachezaji hao ndio wameufanya tuupende mpira kwa uwepo wao.Na huko mbeleni watakuja wazuri zaidi yao baada ya muda wao kwisha.Hata tukilazimisha wajukuu kusema flan flan.Wataitikia tu sawaa..ila wao watatazama wakati wao.
Kama kwelu tunaelewa mpira nini maana yake kamwe huwezi chukia mchezaji kama Cr7,Messi,Gaucho,Zidane na wengi tu..kama kina Etoo,Seldof,Gatusso..kibao.Labda kama umeanza kuangalia mpira juzi juzi.Hawa watu waliufanya mpira uwe mtamu na baadhi bado wanaufanya mpira uzidi kunoga.
Nitaangalia Cr7 kwa kuwa napenda uchezaji wake na bado nitamwangalia Messi..na pia badi nikitaka kutabasamu zaidi nitaangalia marudio ya Wazee wa enzi hizo.Zidane,Gaucho ..Figo..na kibao wakali wa kipindi hicho.Huo ndio maana ya kuelewa mpira Bwana.
 
Ingekuwa hvyo angebeba ballondor miaka yote mbona kafikiwa na Ronaldo

Hizo ballon zenyewe u know that kazipataje huyo Ronaldo? Teamates inamuokoa na sio juhudi zake. Timu ikifanya vizuri ndio pona yake. Wangelikuwa wanafuata perfomance ya mchezaji basi kila mwaka Messi angelikuwa anachukua. Sometimes kuweni wakweli.
 
kajifunze mpira njoo boss...messi kawahi kucheza timu tofauti na barca?...kwangu kwa kigezo hiko hata suarez n bora kwangu kuliko yeye..mchezaji wa ligi moja,timu moja miaka yote anaogopa changamoto mpya atoke barca imetosha sasa..tukaone huko kwingine makali ni hayohayo? au ndo akina shevchenko?

Tatizo lenu wabongo mnaongea bila facts hili ndio tatizo. Sasa kakuambia kuwa hatoki barca coz anaogopa changamoto mpya? Una ushahidi gani? Kwahiyo unamshauri aondoke timu inayomlipa vizuri na yenye ushindani mkubwa barani ulaya na ndio club kubwa duniani + Madrid, sasa wewe unataka aende club ipi ambayo inauwezo wa kumlipa kama ambavyo wanamlipa Barca????
 
Hizo ballon zenyewe u know that kazipataje huyo Ronaldo? Teamates inamuokoa na sio juhudi zake. Timu ikifanya vizuri ndio pona yake. Wangelikuwa wanafuata perfomance ya mchezaji basi kila mwaka Messi angelikuwa anachukua. Sometimes kuweni wakweli.
Team mates Hahahahaha sasa kati ya Messi na Ronaldo nani ana Team mates wazuri? Yani Messi mpaka Timu ya Taifa ya Messi imejaa mastaa lakini msenge yule hana kombe hata moja ila Ronaldo na Portugal yake wote vilema ila kabeba Euro halafu unasema Team mates hahahaha Tafakari upyaaaa Usimfananishe Ronaldo na vitu vya kipumbavu
 
Siwezi kupaniki kisa unatoa hoja mfu...
Messi haihataji Kubadili team kuonyesha yeye ni bora...
For the last decade Messi amekua standout player wa Barca na dunia kwa ujumla.
Messi habebwi na Barca rather Messi ndio anaibeba barca angalia stats zinavyosema.
Messi kakutana na wachezaji wa kila ligi na still 99% ameperform dhidi yao mind you wachezaji hao wametoka ligi zinazo aminika ni ngumu... Kakutana na man zote mbili, Arsenal, Bayern, Milan zote mbili, Juve etc we unataka ahame timu ili iweje na ameshaprove uwezo wake kwenye michuano mikubwa kama ligi ya mabingwa!
Hebu jaribu kudiscuss mpira in a wider perspective sio kisa humpendi Messi basi unaishia kum discredit.

Kwako mkuu huwa sinaga wasi wasi kabisa. Unatoa hoja zenye kuweleweka. Asante sana kiongozi atakuwa amekuwelewa.
 
Majadiliano kama haya yangejenga timu bora ya Taifa letu.Hapo hamwezi kufikia mwisho hata siku moja.Maana wote tunaendeshwa na mapenzi.Tuna ukwepa uhalisia..na ndio maana hata soka letu na mafanikio yapo kama hizo comments zetu.
Tz haitaendelea kisoka pasipo anguko la yanga na simba
 
Team mates Hahahahaha sasa kati ya Messi na Ronaldo nani ana Team mates wazuri? Yani Messi mpaka Timu ya Taifa ya Messi imejaa mastaa lakini ****** yule hana kombe hata moja ila Ronaldo na Portugal yake wote vilema ila kabeba Euro halafu unasema Team mates hahahaha Tafakari upyaaaa Usimfananishe Ronaldo na vitu vya kipumbavu

Hahahaaa kiongozi mbona umepanic! Kwaiyo Messi ni mpumbavu sio? Fuatilia kwa makini ni nani anaibeba timu yake iwe national team ama club? Messi ana kila kitu kuassists, kutengeneza,kukusanya kijiji and scores. Ronaldo ana nini cha ziada?

Mkuu ukweli ni kwamba Messi ni level nyingine kabisa.
Lakini nikiweka ushabiki pembeni cr7 amewazidi mbali sana wakina De lima, okocha, gaucho, ibrahimovich.

  1. Messi
  2. Diego
  3. Pele

  1. Alfredo de stefano
  2. Cruyff
  3. Puskas
  4. Cr7
  5. Zidane
 
Tatizo lenu wabongo mnaongea bila facts hili ndio tatizo. Sasa kakuambia kuwa hatoki barca coz anaogopa changamoto mpya? Una ushahidi gani? Kwahiyo unamshauri aondoke timu inayomlipa vizuri na yenye ushindani mkubwa barani ulaya na ndio club kubwa duniani + Madrid, sasa wewe unataka aende club ipi ambayo inauwezo wa kumlipa kama ambavyo wanamlipa Barca????
ok wbongo hatuna fact mwenzangu MUINGEREZA ndo fact ulokuja nayo?....kama ni kulipwa tu mbna neymar analipwa zaid na yupo PSG?, mancity waliwah mtaka ikawaje? tuachane na club ok tuambie kuhusu timu ya taifa kafanya nn pamoja na kuwa na watu kibao wenye uwezo mkubwa?...mbovu yule me ntamuamini kama n mchezaji kweli kama ataonesha uwezo mahali pengine ila mchezaji wa ligi moja na club moja hapana mbovuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.....muogaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....wanaume wa kweli hawaogopi na wakiondoka wanawasha moto vilevile ona Ronaldo,Suarez,Neymar,Ibrahimovic,Etoo,Robben etc
 
n
Siwezi kupaniki kisa unatoa hoja mfu...
Messi haihataji Kubadili team kuonyesha yeye ni bora...
For the last decade Messi amekua standout player wa Barca na dunia kwa ujumla.
Messi habebwi na Barca rather Messi ndio anaibeba barca angalia stats zinavyosema.
Messi kakutana na wachezaji wa kila ligi na still 99% ameperform dhidi yao mind you wachezaji hao wametoka ligi zinazo aminika ni ngumu... Kakutana na man zote mbili, Arsenal, Bayern, Milan zote mbili, Juve etc we unataka ahame timu ili iweje na ameshaprove uwezo wake kwenye michuano mikubwa kama ligi ya mabingwa!
Hebu jaribu kudiscuss mpira in a wider perspective sio kisa humpendi Messi basi unaishia kum discredit.
nna wasiwas na uwezo wako kuhusu mpira mkuu, muda mwingine unapokuja kujadili haya weka mahaba pembeni then lets speak football, what me tryng to tel u is just..he fears about chemistry kwamba hao wanaomfanya ang'are barcelona atakutana na watu wa namna hiyo huko atakapokwenda?...sikatai amefanikiwa akiwa na barcelona lakini tukubali kwamba huenda ni mfumo au aina ya watu alionao hapo barcelona ndo wanachagiza mafanikio hayo...kudhihirisha kwamba yy n bora popote why dont he move from barca so as to prove us wrong??....anaogopa nn, kwangu mchezaji wa ligi moja hapaswi hata kuwa mchezaji bora wa mkoa siyo dunia2.
 
  1. MESSI
  2. DIEGO
  3. PELE.
Kuna mibongo humu inajifanya inajua kwelikweli mpira,, so itakuja kupinga hiki kitu. Wakati kitu kinajulikana wazi kabisa kuwa" Messi ndiye baba wa soka kuwahi kutokea"
 
Okay mi umri wangu 52...hivyo wewe una 104

-Tuendelee....why uwakatae wawili hawa wafalme wa soka? Una evidence yeyote?

-Na yupi unayemkubali zaidi yao? Maana hukuja na jibu linaloeleweka, naweza nikasema wewe ni mwanafunzi mambo haya waachie wenyewe wanaolijua soka sawa bwana mdogo? Naomba ujibu swali hapo juu
hahaaaaaa
 
Back
Top Bottom