Tangu Soka lianze hadi leo hii, Kuna Mchezaji yeyote aliyefikia kiwango cha Maradona au Messi?


kiongozi,naona unazunguka tuuuuu maneno mengi unanilisha maneno sijaandika wala kumaanisha lakini unashindwa kujibu kahoja kamoja tu....Maradona anakumbukwa kwa mechi ngapi?nakuhakikishia hazizidi mbili!!!mojawapo ni ile aliyofunga goli kwa kutumia kiungo kinachotumika katika netiboli.....mkono!!!Messi yuko mbali sana kupita huyo Maradona!kama Kucheza Ulaya Messi kacheza zaidi Ulaya kuliko maradona na kuchukua makombe ya Ulaya ambayo Maradona hata azaliwe na kurudi mara 3 hatoweza kuchukua....kama kuna kitu chochote unadhani kinamuweka Maradona mbele ya Messi basi ni kushinda katika World Stage yaani World Cup...naam Pele kafanya hivyo mara nyingi zaidi ya Maradona wako...Mara 3!!!Hivyo kwa vigezo alivyotamba navyo maradona wako Who is the Greatest????Messi must be ahead of him bila hata ya kumzungumzia Pele!!Jibu hoja niliyoileta sio mleta hoja
 


Messi akiwa kazungukwa na timu nzima ya Chile kasoro forward na kipa!!!!Whatever Maradona can do....Messi can do it better....except scoring by hand at the World Cup!!!
 
Hawa wawili wameupeleka Mpira kwenye level ya kipekee. In my opinion mtu kama Pele naona ni overrated.
Kwa kawaida watu weupe kumkubali mtu mweusi huwa ngumu sana kwenye kila jambo. Ukiona wamemkubali , basi tambua kuwa ni vida sana. Unawafahamu, Mohamed Ally, Tyson, Michael Jordan, Serena Williams, nk. Hawa ni bora ama walikuwa bora sana mpaka wazungu wakashindwa Kufanya figisu.

Pele alicheza kipindi ubaguzi bado upo juu sana. Lakini wazungu waliona kuwa yeye ndiye alikuwa bora kuliko wachezaji wote duniani. Kuna watu wanasema alicheza kipindi Mpira haukuwa kama wa sasa. Mimi nasema vyovyote vile, kama Pelle angecheza zama hizi angekuwa bora zaidi nilingana na zama.
 

you mix words, be open / PelΓ©'s goalscoring record is often reported by FIFA among others as being 1281 goals in 1363 games.He won three world cups an incredible achievement.Pele was more of a team player, he was surrounded by great players always.He had the best physique and was two footed.His team always dominated.He scored more goals but many were in friendlies and there was no offside rule.He played most of his career in his Brazilian league which was hardly competitive.He never played in Europe where the competition was higher.

Maradona did not have a great physique,but incredible technical ability on and off the ball.Maradona was the one man army.Even in Argentina he intially played for Argentinos jr which was fighting for relegation and lifted it to second place single handedly. Then he went to Boca jr because it was his dream to play for Boca,he won the league with them in 1981.After that he had a bad spell with Barcelona both on and off the pitch.He went to napoli which was on the verge of being relegated in 1984 and built the napoli team from scratch, won the Italian league in 1986-87 season,and later in 1989 uefa cup,the italian league again.He won the 1986 world cup for Argentina single handedly(literally).A goal with his hand and five minutes later the goal of the century.He later pulled a very poor Argentina team to world cup finals in 1990 but lost to west Germany. His life of the pitch was not as good he was caught in using cocaine and failed a drug test in world cup 1994.

Pele was voted player of the century by Fifa officials, journalists and coaches,while Maradona was voted player of the century by the people.

Statistics will always side with Pele but peoples heart will always beat faster for Maradona's incredible plays
 

You're racist bro, mijadala km hi inakosa tamati becoz of racist, na ukweli unafahamika
 

πŸ˜€πŸ˜€eti anakumbukwa kwa mechi mbili to..acha kujisemea kiongozi,naona umeishiwa sasa unabakia kurudia yaleyale maneno! haya bana, Mimi sikukatalii kuwa messi ni zaidi ya maradona.. nikweli king messi ni zaidi ya king diego..lakini unavyosema pele kawazidi wawili hao. hapo nitakubishia tena sio kidogo...japo ana 3 world cups lakini still kuwafikia wawili hawa, so hayo yatabakia kuwa mawazo yako kwa huyo babu...lkn kwangu mimi King Messi na King diego watabakia kuwa wachezaji bora kuwahi kutokea..no doubt
 
Reactions: PNC


hapo tunaenda sawa mkuu!haya rudi kule juu kamuweke Messi number 1 kisha namba 2 muweke Maradona!!!Kuhusiana na Pele kusema kweli mimi mwenyewe sikuwahi kumuona live akicheza hivyo,nimemuweka mbele ya hawa wawili kwa kufuata mapokeo tu na statistics zake wala si kwa kumuona akisakata kabumbu,hivyo sioni ulazima wa kukomaa kwamba Pele ni bora kuliko wote!Nitabaki kuamini mchezaji bora zaidi kupata kutokea niliyemuona kwa macho yangu akili na moyo wangu ukamkubali kuwa ndie ni Lionel Messi.
 

pamoja mkuu...kuhusu picha zisikutishe kabisa,hata mleta uzi sidhani kama alikuwa na maana hiyo kwamba wakwanza ndie aliyemzidi wa pili laa...kama atakuwa online anaweza akabadili ili wadau wengine wasichukulie serious kuwa dona ndie mkali zaidi ya messi kwakuwa yupo (juu) namba 1.
 
Gaucho ni burudani, unatamani kila muda mpira ufike kwake ili uone mbwembwe zake. Hata Kocha wa timu pinzani anatamani Gaucho aguse mpira ili aone radhaa.

Kwa Upande wa Messi kocha wa Timu pinzani anatamani Messi aw majeruhi asiwe uwanjani au mpira usimfikie kabisa.

Gaucho mabeki wakipigwa chenga huwa wanacheka tu na kufurahi, Kwa Messi beki akipigwa chenga lazima asikitike maana anajua huko kama Nyavu hazijatikiswa basi ni tuta.
 

πŸ˜›πŸ˜›Nenda kakojoe ulare,gaucho hafui dafu kwa zizo, vipi useme yy ni zaidi yaking.au unapenda anavokatika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…