Kama Ke au Me acha dharau kwa wengine,yani unataka anybody akufuate unachokisema...
hapa kila mmoja na mawazo yake, alaf pia unasema nimekimbia kuelezea sio kweli, usifikiri wote tunashindia jf kama wewe vile,then tukaacha kibarua....kwanza hoja gani za maana umetoa hadi wadau wakukimbie? Ndio maana nikasema usidharau michango ya wengine ukaona yakwako ipo correct, plz heshimu mawazo ya wengine....
wataalamu wa soka wamesha sema kuwa maradona is the all the time player of the world,unataka maelezo gani zaidi ya haya?
Mpaka huko Argentina mtu akiwa anapanda ghorofani kwenda kwenye ghorofa ya 10 anasema naenda Diego.
Huko Naples Maradona ni kama mungu wao" ni kama mungu mtu..japo mimi The Black P sipendi sipendi kutukuzwa binadamu kihivyo" washabiki duniani kote wanakubali kuwa hajawahi kutokea mchezaji kama yeye na hatatokea, ndio maana wanamshangaa Messi! Lapulga or Atomic flea
Hili ndilo jibu la the Great Diego kuhusu hoja zenu za upigaji kura na kuchukua vikombe vingi kabla kabla soka haijawa kali zaidi....
BUENOS AIRES (AFP) - Argentina coach Diego Maradona on Wednesday put Brazilian legend Pele in his place, insisting the latter was the second best player ever after himself.
A FIFA internet poll in 2000 saw Maradona, who will lead the albiceleste against the five-times world champion Brazilians in a September 5 World Cup qualifier, come out on top and he said on Wednesday that ought to settle the issue.
"What matters is that when the people voted, he came second behind me. Nobody can take that away from me," insisted Maradona, who said the fact he had played with success in European club football, unlike Pele, ought to be the clincher - even if Pele won three World Cup titles to his one.
Maradona told FIFA.com that he believed he deserved the accolade of number one player ever.
"Do you know what? I played in European football for ten years while Pele played in South America. Yes he won World Cups and everything, but playing in Europe is something else entirely," he said.
"Not that that makes me much better than him or anything like that. When I played, the man-markers in Spanish and Italian football were like hunting dogs. They never left me alone," said the Argentine.
Chanzo:
http://sports.yahoo.com/sow/news?slug=afp-fblwc2010latamargbrapelemaradona&prov=afp&type=lgns