BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Mkuu Upo wright kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna watu hawawezi kua serious mkuu. Sijajua mpira wanaungalia vipi
Kwani wewe umeonesha evidence gani kuwa hao maradona na messi ni bora zaidi ya mahaba uliyonayo kwa wawili hao?Okay mi umri wangu 52...hivyo wewe una 104
-Tuendelee....why uwakatae wawili hawa wafalme wa soka? Una evidence yeyote?
-Na yupi unayemkubali zaidi yao? Maana hukuja na jibu linaloeleweka, naweza nikasema wewe ni mwanafunzi mambo haya waachie wenyewe wanaolijua soka sawa bwana mdogo? Naomba ujibu swali hapo juu
Gaucho!!![emoji15] seriously??? For me Dinho hamfikii hata Zidane, and he is not even close to him. Juzi tu hapa Ronaldo(the real Ronaldo, not Cr7) alisema bila kupepesa macho kua Zidane is the best player he has ever played with. Mind you, Ronaldo kacheza na wote, Gaucho na ZizouMessi: God has sent me to teach this generation how to play football.
C.Ronaldo: No man,I am the one who is sent.
Gaucho: I have n't sent anyone.
Ni kweli unachokisema mkuu, hilo ndo tatizo. For me sitathubutu hata kumfananisha Gaucho na mtu kama Zinedine Zidane, Zizou😀😀Mkuu tatizo wengi wanapenda kuhadithiwa na hili ndiyo tatizo ,, mtu akiambiwa gaucho hatari bhana hakuna kama yeye, basi ataamini na atashikilia hilo neno bila hata ya kuthibitisha yeye, hapo anakuwa hana time tena ya kuwafatilia wachezaji wengine...
huyo messi anachojua ni chenga ya 'cone' na kufunga,mwangalie vizuri maradona,de lima na gaucho uone wanachoufanya mpiramechi anazokumbukwa nazo hazifiki hata 10!!nadhani ni 3 tu!!!hebu mfikirie Messi uone makumbukumbu yanavyokujia kichwani??maradona zinakuja kumbukumbu mechi ngapi?pengine moja tu dhidi ya england
mechi anazokumbukwa nazo hazifiki hata 10!!nadhani ni 3 tu!!!hebu mfikirie Messi uone makumbukumbu yanavyokujia kichwani??maradona zinakuja kumbukumbu mechi ngapi?pengine moja tu dhidi ya england
huyo messi anachojua ni chenga ya 'cone' na kufunga,mwangalie vizuri maradona,de lima na gaucho uone wanachoufanya mpira
Ni kweli unachokisema mkuu, hilo ndo tatizo. For me sitathubutu hata kumfananisha Gaucho na mtu kama Zinedine Zidane, Zizou
mechi anazokumbukwa nazo hazifiki hata 10!!nadhani ni 3 tu!!!hebu mfikirie Messi uone makumbukumbu yanavyokujia kichwani??maradona zinakuja kumbukumbu mechi ngapi?pengine moja tu dhidi ya england
😛Shabiki mandazi huwa hamkosekani humu...haya bhana sio mbaya kujifurahisha, ndivyo tulivyo binaadamu japo tunatofautiana....kiuhalisia unazidi kuumia ndani kwa ndani unaposikia na kushuhudia kuwa maradona hafananishwi na mchezaji yeyote hapa ulimwenguni except King 10s Alone ambaye ndiye mrithi wake, ukiangalia vitu vingi wamefanana wakiwa uwanjani mpaka goli la mkono pia messi kishaleta....angalia video hii then uje na feedback
SIMILAR GOALS
https://www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&url=http://m.youtube.com/watch?v=lqTsB04M0eE&ved=0ahUKEwjm5YPf4sfMAhUKshQKHUP3BAEQuAIIHDAA&usg=AFQjCNHX7xo8c0cHDWoazuuW9iLykSDRZw&sig2=NvLvlo1KVLppEy88iJtaGA
Messi mwache kama alivyo hafananishwi na player yeyote huo ndio ukweli halisi
Maradona weka mbali na wawili hao gaucho na ronaldo, maana hata robo yake still kufikia..kama hujui soccer ni bora ukauke tu, maradona?maradona? maradona? Unampanga meza moja na gaucho, ronaldo 9? Ni kumdhalilisha sana...katika life yangu sijapata kuona player yeyote yule kawachambua mabeki 4-6 kisha aka-score except DIEGO ARMANDO MARADONA D10S & LEONEL ANDRES MESSI L10S
There is no comparison – Mardonna full stop. I would go so far as to say there will never ever be another player who would come close to him except LEO10S Alone
Achana nae ajui anayoyaandika eti watu waulizwe barabara ngapi zimejengwa Kwa kiwango cha lami waseme 26% alafu tanroad waseme 43% tuwakatalie tanroad tuwaamini watu ambao hawana utafiti na mamlaka Mpaka MTU ameijua IFFHS ndio atakubali maradona asogelei viumbe walioko juu yake kwenye list tajwa kimafanikio na kila kitu
Kama unaongelea kufunga na kuchukua vikombe,kweli messi ni zaidi ila kama unaongelea MCHEZAJI MPIRA,GAUCHO kwa karne hii ya 21 mpaka sasa ni hakunaga,nenda heirlj channel pale YouTube,utakuta habari zao wote wawili halafu uje tena hapa, kwA pele na maradona ,yeyote Kati Yao anaweza kuwa mkali maana pele nae alikuwa mkatili uwanjani si kidogo,😀😀Mkuu tatizo wengi wanapenda kuhadithiwa na hili ndiyo tatizo ,, mtu akiambiwa gaucho hatari bhana hakuna kama yeye, basi ataamini na atashikilia hilo neno bila hata ya kuthibitisha yeye, hapo anakuwa hana time tena ya kuwafatilia wachezaji wengine...