Tangu Soka lianze hadi leo hii, Kuna Mchezaji yeyote aliyefikia kiwango cha Maradona au Messi?

Tangu Soka lianze hadi leo hii, Kuna Mchezaji yeyote aliyefikia kiwango cha Maradona au Messi?

Mkitaka kushuhudia mashabiki mandazi ama
vitumbua mtawajua tu! Wanapoletwa Diego maradona na King Messi humu watu hawa huwa wanaumia sana sijaelewa problem ni nini...

Na maranyingi hao hao mandazi na vitumbua ukiwauliza swali lolote wanakimbia


Mfano mmoja! mnao mshabikia gaucho huwa hatuwaelewi kabisa tukiwaomba ( facts,evidence, statistics ) hakuna hata mmoja atakaye leta, wanabakia kumsifia juu juu tu bila ukweli wowote....

Watu hawa tunawaweka katika kundi lipi? Malofa ama ni nini haswaaa,, nilishawaambia yeyote atayekuja na ushahidi wowote unaoonyesha gaucho ni zaidi ya wawili hawa na zidane wa tatu...basi naomba mods wani-ban, lakini sijaona yeyote aliyeleta facts...hivyo watu hawa ni wakupuuzwa na wala hawana maana yeyote,na wala huwezi kuwaweka kwenye kundi la mashabiki wa soka....so wakuwapuuza

Mashabiki wa Maradona ukiwaomba facts,evidence,statistics watakuletea bila kuchelewa

Mashabiki wa Messi ukiwaomba facts,evidence, statistics watakuletea bila kuchelewa

Mashabiki wa Zidane vile vile ukiwaomba facts, evidence, statistics watakuletea bila kuchelewa
Bora umewachana live,,maan hatuwaelewi wanataka nini,,au wenzetu siyo ridhiki
 
Umeanza kufuatilia mpira juz,,angalia clip za zaman na za sasa utaona magoli yap ni magumu
By ma side ronaldinho,zidane ndo the best player forever
 
Mkuu kuna garrincha, ferenc puskas, Pele nascimento,zico na wengine wengi ...... ukiangalia zile classic videos za mechi zao utaona hawa jamaa hawana mfano mpaka sasa

Mkuu ingia you tube umuone mzee Diego alafu uje na feedback hapa, huyu mshkaji huwa hazinikifu videos zake. Ukija kwa mtaalamu asiyefananishwa na michezaji mingine huyu si mwingine bali ni N0 10 original na ameitendea haki hii namba/ Messi, huyu muungwana kama humfatilii basi nakushauri ingia youtube ujionee hana mfano wake/Na hawana mfano wake wawili hawa.
 
Mkitaka kushuhudia mashabiki mandazi ama
vitumbua mtawajua tu! Wanapoletwa Diego maradona na King Messi humu watu hawa huwa wanaumia sana sijaelewa problem ni nini...

Na maranyingi hao hao mandazi na vitumbua ukiwauliza swali lolote wanakimbia


Mfano mmoja! mnao mshabikia gaucho huwa hatuwaelewi kabisa tukiwaomba ( facts,evidence, statistics ) hakuna hata mmoja atakaye leta, wanabakia kumsifia juu juu tu bila ukweli wowote....

Watu hawa tunawaweka katika kundi lipi? Malofa ama ni nini haswaaa,, nilishawaambia yeyote atayekuja na ushahidi wowote unaoonyesha gaucho ni zaidi ya wawili hawa na zidane wa tatu...basi naomba mods wani-ban, lakini sijaona yeyote aliyeleta facts...hivyo watu hawa ni wakupuuzwa na wala hawana maana yeyote,na wala huwezi kuwaweka kwenye kundi la mashabiki wa soka....so wakuwapuuza

Mashabiki wa Maradona ukiwaomba facts,evidence,statistics watakuletea bila kuchelewa

Mashabiki wa Messi ukiwaomba facts,evidence, statistics watakuletea bila kuchelewa

Mashabiki wa Zidane vile vile ukiwaomba facts, evidence, statistics watakuletea bila kuchelewa
Usichanganye hisia na kazi
 
😛😛Mkuu Watapata wapi facts...ukweli utabaki pale pale,wanajua yupi mkali wa soka ila hawataki kusema tu, maradona na messi kitu ingine hakuna wakuwakamata wafalme hawa
Unachanganya hisia na kazi ww
 
Diego maradona kilichomkosesha heshima yake ni nidhamu

Yeah ni kweli kamanda wangu. Ila nitashangaa mtu anakuja hapa anasema hakuwa bora kwa sababu ya drugs😀😀 na kupelekea kusema wachezaji wake bora wa muda wote fulani na fulani na kumuweka pending huyu jamaa, simuelewi aise.
 
Mimi sijapata ona level za JUAN PABLO ROMANO RIQUELME

Huyu mshikaji alikua mtamu sana enzi zake na alifananishwa sana na Zinedine zizo namna ya ukokotaji, kwakweli alikua ni elegant playmaker,anakokota mabeki na ni mpigaji free-kick mzuri sana, na vitu vingi tu alikua akivifanya ndani ya uwanja, ila hawakumtendea haki ipasavyo, na alistahiki kupewa best player wa mwaka hata mara mbili, ila haikua hivyo..badala yake akawa wa pili enzi hizo, kitu ambacho kinastaajabisha kwakweri.huyu jamaa kanisikitisha muno bac tu.

Mcheki hapa.
https://www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&url=https://m.youtube.com/watch?v=SteRrVX9gjY&ved=0ahUKEwisnYr2_fPSAhVJuBoKHRq3Dis4ChCjtAEIKjAJ&usg=AFQjCNFw9YofgQnO9P14g9Q6pMt5aJtlzg&sig2=4Fxf6GCKD8492FK4wFGaOQ
 
Wachambuzi wa soko wa kimataifa wengi wanaamini Ronado De Lima alikuwa mtu mwingine kabisa,
 
Mkuu ingia you tube umuone mzee Diego alafu uje na feedback hapa, huyu mshkaji huwa hazinikifu videos zake. Ukija kwa mtaalamu asiyefananishwa na michezaji mingine huyu si mwingine bali ni N0 10 original na ameitendea haki hii namba/ Messi, huyu muungwana kama humfatilii basi nakushauri ingia youtube ujionee hana mfano wake/Na hawana mfano wake wawili hawa.
mkuu chenga sio kila kitu kwenye mpira wote tunajua huyo messi kafika hapo sababu ya wanaomzunguka wakiwemo midfield nzuri sana ya barca na argentina pia imejaa masuperstar...... huyo maradona pia alicheza kipindi wakiwepo malegends kma mario kempes kina ariel ortega sijui redondo.. batistuta etc so sio kweli aliibeba timu yeye binafsi je unawakumbuka kina buruchado na valdano??? by the way alijiunga na argentina ambayo ilikuwa imetoka kuchukua kombe la dunia 1978 so alikuta imejaa majembe kwelikweli hyo hoja haina mashiko

sasa turudi kwa pele huyo jamaa unajua assists alizotoa je huyo maradona au messi wanaweza fikia??? hvi unajua world cup ambayo pele aliumia 1966 si timu iliishia kutolewa je angekuwa anategemea wenzake si wangeendelea hadi kuchukua kombe bila pele??? hivi unajua baada ya pele kustaafu ilipita miaka mingapi hadi wakachukua kombe tena la dunia??? mbona kabla ya pele kuingia timu ya taifa brazil na mastaa wao wote kma didi wa mwaka 50 worldcup hawakuchukua kombe la dunia??? club yake ya santos pia unajua tofauti ya kabla hajajiunga na baada ya kujiunga??? kma nao alikuwa anategemea supportive players kma ambavyo messi aliwategemea kina xavi na iniesta au maradona ambaye alijiunga na argentina ikiwa tayari bingwa mtetezi wa world cup hivyo ilikuwa na superstars pekee????

MKUU HAO MESI NA MARADONA WALIKUTA TIMU ZAO ZIPO ON TOP OF THE WORLD ILA PELE ALIPOINGIA NDIO ILIKUWA MWANZO WA SUCCESS WA TIMU ZAKE BOTH SANTOS NA BRAZIL
 
Toa porojo zako hapa
.unamahaba sana hadi unazalau wenzako kiasi icho,unatuita cc wapuuzi? Au unatumia gongo nini? Well

Una umri gani kwanza? Na umemshuhudia akicheza live huyo pele? Maradona tumemshuhudia live na vidio zake tumiziona. kwa Mesi nako tumeshuudia vile vile ..sasa wewe umemuonea wapi huyo pele hadi useme yeye ndio baba wa soka duniani? So u can't tell us pele is the best ever wakati hatukumshuhudia.ila nasema messi and Diego ni best ever coz kuna mambo mengi wamefanya katika soka.uyo pele mwenyewe kuna mambo mengi mno messi amefanya pele hakuwahi. Sema pele anachojigambia ni kuchukua kombe la dunia na ayo magoli 1000. Na hata ayo magori hakuna uhakika kama ni kweli.ila kuhusu rekodi za Messi na Diego zote tunazijuwa na magoli yake yote. Tuzo zake msikaririshwe. Messi and Diego is the best in and out the world

Honours and achievements

Barcelona
La Liga: 2004–05, 2005–06, 2008–09, 2009–10, 2010–11, 2012–13, 2014–15, 2015–16

Copa del Rey: 2008–09, 2011–12, 2014–15, 2015–16

Supercopa de España: 2005, 2006, 2009, 2010, 2011, 2013, 2016

UEFA Champions League: 2005–06, 2008–09, 2010–11, 2014–15

UEFA Super Cup: 2009, 2011, 2015

FIFA Club World Cup: 2009, 2011, 2015[407]
International

FIFA World Youth Championship: 2005

Olympic Gold Medal: 2008

Individual
Awards
Ballon d'Or: 2009[408]

FIFA World Player of the Year: 2009[408]

UEFA Club Footballer of the Year: 2009[409]

UEFA Club Forward of the Year: 2009[409]

FIFA Ballon d'Or: 2010, 2011, 2012, 2015[408]

IFFHS World's Best Top Goalscorer: 2011, 2012[410]

IFFHS World's Best Top Division Goalscorer: 2012, 2013[410]

IFFHS World's Best Playmaker: 2015[411]

UEFA Best Player in Europe: 2011, 2015[191]

European Golden Shoe: 2010, 2012, 2013[150]

La Liga Best Player: 2009, 2010, 2011, 2012, 2013, 2015[412][413][414]

La Liga Best Forward: 2009, 2010, 2011, 2012, 2013, 2015[412][413][414]

La Liga Player of the Month: January 2016[415]

Olimpia de Plata (Argentine Footballer of the Year): 2005, 2007, 2008, 2009, 2010, 2011, 2012, 2013, 2015[412][416]

Olimpia de Oro (Argentine Sportsperson of the Year): 2011[412]

FIFA Club World Cup Golden Ball: 2009, 2011[417]

FIFA Club World Cup Silver Ball: 2015[418]

FIFA World Cup Golden Ball: 2014[419]

Copa América Most Valuable Player: 2015 (rejected)[282]

FIFA FIFPro World XI: 2007, 2008, 2009, 2010, 2011, 2012, 2013, 2014, 2015[420][421]

UEFA Team of the Year: 2008, 2009, 2010, 2011, 2012, 2014, 2015[409][422]

La Liga Team of the Year: 2015[423]

AFA Team of All Time (published 2015)[424]

FIFA World Cup Dream Team: 2014[425]

Copa América Dream Team: 2007, 2011, 2015, 2016[426][427][428][299]

UEFA Goal of the Year: 2007[412]

UEFA Goal of the Season: 2014–15, 2015–16[186][429]

Copa América Best Goal: 2007[430][431]

FIFPro Young World Player of the Year: 2006, 2007, 2008[420]

Golden Boy (Young European Footballer of the Year): 2005[48]

FIFA World Youth Championship Golden Ball: 2005[432]

FIFA World Youth Championship Golden Shoe: 2005[432]

Copa América Best Young Player: 2007[420]
La Liga top goalscorer: 2009–10, 2011–12, 2012–13[433]

La Liga top assist provider: 2010–11, 2014–15, 2015–16[434]

Copa del Rey top goalscorer: 2008–09, 2010–11, 2013–14, 2015–16[435]

UEFA Champions League top goalscorer: 2008–09, 2009–10, 2010–11, 2011–12, 2014–15[436]

UEFA Champions League top assist provider: 2011–12, 2014–15[437]

FIFA Club World Cup top goalscorer: 2011[438]
FIFA World Youth Championship top goalscorer: 2005[220]

Copa América top assist provider: 2011, 2015, 2016[427][439][440]

Records
As of 21 June 2016
Most FIFA Ballons d'Or: 5 (2009–12, 2015)[note 4][441]

Most consecutive FIFA Ballons d'Or: 4[442]

Youngest two-time and three-time FIFA Ballon d'Or winner: 23 and 24 years old[442]

Most UEFA Best Player in Europe awards: 3 (2009, 2011, 2015) (shared with Cristiano Ronaldo) [note 4][191][443]

Most La Liga Best Player awards: 6 (2009–13, 2015)[note 4][444]

Top goalscorer in La Liga: 314 goals[445]

Top assist provider in La Liga: 127 assists[note 3][180][181]

Top goalscorer in the Supercopa de España: 11 goals[257]

Top goalscorer in El Clásico: 21 goals[158]

Top goalscorer in the Derbi barceloní: 16 goals[167]

Top goalscorer in the UEFA Super Cup: 3 goals (shared with Arie Haan, Oleg Blokhin, Gerd Müller, Rob Rensenbrink, François Van der Elst, Terry McDermott, and Radamel Falcao)[446]

Top goalscorer in the FIFA Club World Cup: 5 goals (shared with César Delgado and Luis Suárez)[447]

Top goalscorer for club and country in a calendar year: 91 goals in 2012[448]

Top goalscorer in all club competitions in a calendar year: 79 goals in 2012[132][134]

Top goalscorer in all club competitions in a season: 73 goals in 2011–12[448][257]

Longest goalscoring run in a domestic league: 21 matches, 33 goals in 2012–13[148][147]

Top goalscorer in a La Liga season: 50 goals in 2011–12[449]

Most hat-tricks scored in a La Liga season: 8 in 2011–12 (shared with Cristiano Ronaldo)[257]

Only player to score consecutively against all opposition teams in La Liga: 19 matches, 30 goals in 2012–13[141]

Only player to have won more than one FIFA Club World Cup Golden Ball.[450]

Youngest player to score 200 goals in La Liga: 25 years in 2013[451]

Only player to be top goalscorer in five UEFA Champions League seasons (2008–09 to 2011–12, 2014–15)[189][190]

Only player to be top goalscorer in four consecutive UEFA Champions League seasons[257]

Most hat-tricks scored in the UEFA Champions League: 6[452]

Most goals scored in a UEFA Champions League match: 5 in 2012 (shared with Luiz Adriano)[453]

Youngest player to make 100 appearances in the UEFA Champions League: 28 years, 84 days in 2015[454]

Most titles won with Barcelona: 29 (shared with Andrés Iniesta)[455]

Top goalscorer for Barcelona in official competitions: 459 goals[456]

Top goalscorer for Barcelona including friendlies: 488 goals[456]

Top goalscorer for Barcelona in the UEFA Champions League: 86 goals[456]

Most hat-tricks scored in all competitions by a Barcelona player: 36[178]

Most hat-tricks scored in La Liga by a Barcelona player: 26[457]

Only Barcelona player to be top goalscorer in three La Liga seasons (2009–10, 2011–12, 2012–13)[456]

All-time top assist provider in Copa América: 11 assists[458]

Argentina all-time top goalscorer: 56 goals[459][460][461]

Top goalscorer for Argentina in a calendar year: 12 goals in 2012 (shared with Gabriel Batistuta)[257]

Youngest player to play for Argentina in a FIFA World Cup: 18 years, 357 days in 2006[227]

Youngest player to score for Argentina in a FIFA World Cup: 18 years, 357 days in 2006[227]

Youngest player to reach 100 caps for a country under CONMEBOL's jurisdiction: 27 years, 361 days in 2015[462]

Bado unataka nini? Tatizo letu waafrika tulinyimwa akili,ubaguzi bado unatusumbua, Yatupasa tuwe wakweli hakuna namna.

La pulga and el diego ni wachezaji wa kipekee kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka.
mkuu nimeshuhudia clip za pele..... kumbuka hata clip za Didi wa brazil 1950 world cup zipo sana na zinaonyeshwa sana ESPN Classics na hta kwa statistics huyo messi ni sh**t kwa pele..... kumbuka pele ana magoli zaidi ya 1350 ambapo messi hajafkia hata nusu ssa how dare umlinganishe na pele..... pia pele ametoa assists nyingi kuliko mchezaji yoyote kwenye historia ya mpira..... pia pele kumbuka alicheza kipindi ambacho mpira haukuwa publicised sana kma ssa yaani matuzo sijui pesa nyingi hivyo naamini angecheza miaka hii angechukua tuzo kuliko hata huyo dogo wenu.....pele ndio mtu aliyeshinda zaidi tuzo ya juu zaidi kwenye mpira inaitwa FIFA ORDER OF MERIT AWARD na pia kumbuka kwa kura za karatasi ndio Alishinda PLAYER OF THE 20TH CENTURY ssa ina maana hao waliompigia kura walidanganya??? au hawamjui kuliko sisi tunavyomjua???? embu tuweni serious

unajua hata alexander the great ndio best ever general in the history of warfare ila je nani kati yetu alishawahi muona??? kwani ili kitu kiwe better lazma ukione?? ila ushahidi wa watu waliomuona wakati ule inatosha kutuaminisha how influencial he was kwenye uwanja wa soka!!!

PELE HAJAPATA MPINZANI BADO hizo highest stats bado hakuna aliyezifikia so kutoa mifano ya la liga haina mantiki
 
😀😀mkuu mij mbona unanionea ndugu! Mimi sijioni, na wala sio mtaalam, wapo wengi tu humu wanaolijua soka zaidi yangu mimi, pengine hata wewe umenizidi mbali tu mkuu! Kuhusu messi na maradona kila mmoja na maono yake, hakuna anaemlazimisha mwenzie....kwangu mimi nitaendelea kuamini/kuwakubali Messi, maradona, Zidane na Requelme.....hivyo kila mmoja na mawazo yake, kwako wewe utaendelea kuamini /kuwakubali pele n.k unaowajua, pia isije ikawa mimi ndiye sababu ya wewe uamini nachokiamini mimi, binafsi Sina sababu ya kumlazimisha au kumfanya Mdau/anybody aamini nachokiamini mimi kuhusu nani bora wakati kila mtu na mawazo yake na akili zake alizoumbwa...so endelea tu kuamini kile unachoamini wewe ndugu na mimi nitaendelea kuamini kile nachoamini mimi.....

Ahsanta!


FIFA Player of the Century
This article is about FIFA Player of the Century. For FIFA Female Player of the Century, see FIFA Female Player of the Century.

View attachment 438867
Five years after the award; winners Maradona and Pelé exchange national team shirts.
FIFA Player of the Century was a one-off award created by FIFA to decide the greatest football player of the 20th century. Diego Maradona and Pele were joint winners of the award.[1][2] Maradona won the award based on the Internet poll, while Pelé won the award based on votes from FIFA officials, journalists and coaches.[1][2]

Background Edit

Since 1991, FIFA have had awards for FIFA World Player of the Year and they decided to bring in the new millennium by conducting a public vote to decide the FIFA Player of the Century. This was to be decided by votes on their official website, their official magazine and a grand jury. Maradona won the Internet-based poll by wide margins, garnering 53.6% of the votes against 18.53% for Pelé.[3] Despite the fact that Eusébio, who played football professionally during Pelé's era, placed third in the poll, many observers complained that the Internet nature of the poll would have meant a skewed demographic of younger fans who would have seen Maradona play, but not Pelé. As a result, FIFA decided to add a second poll and appointed a "Football Family" committee composed of football journalists, officials and coaches, who voted Pelé the best player of the century with 72.75% of the vote, thus both were joint winners of the award.[4]

FIFA internet vote Edit
The results of FIFA's internet Poll were as follows:[5]

Player Nationality Percentage
1 Diego Maradona Argentina 53.6%
2 Pelé Brazil 18.53%
3 Eusébio Portugal 6.21%
4 Roberto Baggio Italy 5.42%
5 Romário Brazil 1.69%
6 Marco van Basten Netherlands 1.57%
7 Ronaldo Brazil 1.55%
8 Franz Beckenbauer Germany 1.50%
9 Zinedine Zidane France 1.34%
10 Rivaldo Brazil 1.19%
11 Zico Brazil 1.15%
12 Garrincha Brazil 1.08%
13 Johan Cruyff Netherlands 0.87%
14 Alfredo Di Stéfano Argentina 0.68%
15 Michel Platini France 0.58%
16 Bobby Charlton England 0.39%
17 Ferenc Puskás Hungary 0.37%
18 Lothar Matthäus Germany 0.37%
19 Lev Yashin Soviet Union 0.36%
20 George Best Northern Ireland 0.32%
FIFA Magazine and Grand Jury vote Edit
This part of the award was decided by the FIFA Magazine readers vote and the FIFA Grand Jury.[5]


Player Nationality Percentage
1 Pelé Brazil 72.75%
2 Alfredo Di Stéfano Argentina 9.75%
3 Diego Maradona Argentina 6.0%
4 Franz Beckenbauer Germany 2.5%
5 Johan Cruyff Netherlands 2.0%
George Best Northern Ireland 2.0%
7 Michel Platini France 1.0%
Garrincha Brazil 1.0%
Zico Brazil 1.0%
Gerd Müller Germany 1.0%
Roberto Baggio Italy 1.0%
FIFA Centennial Award Edit
FIFA Centennial Player and Football Personality.[6]

Winner Nationality
Franz Beckenbauer Germany
Pelé Brazil
IFFHS Edit
IFFHS gave out an award decided by votes which was conducted with the participation of journalists and former players (no further details given).[7]

Player Nationality Votes
1 Pelé Brazil 1705
2 Johan Cruyff Netherlands 1303
3 Franz Beckenbauer Germany 1228
4 Alfredo Di Stéfano Argentina 1215
5 Diego Maradona Argentina 1214
6 Ferenc Puskás Hungary 810
7 Michel Platini France 722
8 Garrincha Brazil 624
9 Eusébio Portugal 544
10 Bobby Charlton England 508
References Edit

^ a b Pele, Maradona split player of 20th century award. CBC News. Retrieved 13 March 2013
^ a b FIFA Player of the Century. touri.com
^ BBC SPORT | FOOTBALL | Pele sad at Maradona snub
^ "Pele, Maradona each win FIFA century awards after feud". CNN.
^ a b "FIFA Player of the Century" (PDF). touri.com. Retrieved 30 November 2010.
^ "Celebrations mark the opening of FIFA Centennial Congress in Paris, FIFA’s birthplace". FIFA.com. Retrieved 9 April 2013
^ "World - Player of the Century". RSSSF.com. Retrieved 9 April 2013


FIFA Player of the Century - Wikipedia
Dinho ni soccer megician hajawahi tokea duniani mwingine kama huyu.
 
Hao wawili ni wazur sana kwenye dribbling na maumbo yao yamewapa advantage,wanapokuwa na mpira ni ngumu kuuchukua
Kwenye hilo hao ni bora wa muda wote

Lakini mpira hauna skills hizo tu
Kuna skills nying ambazo wanazidiwa
Watakao mtaja Ronaldinho/Okocha/Ziddane ni wale wanaopenda mchezaji mwenye ufundi na udambwi dambwi wa chenga,ball control etc
Kumbuka hata Ku defend ni skills na hapo utamtaja mtu kama Mathieu's

Kama mim ntakwambia mchezaji bora kwangu wa muda wote ni Ronaldo De Lima kwanza ndie alieni motivate kuupenda Mpira na navutiwa sana na uchezaji wake na uwezo wake wakufuga
Dah mkuu umeongea asee,binafsi namkubali De lima kwasabb ni mchezaji alokua amekamilika kila idara,mshambuliaji asiyeogopa mabeki anawapeleka anakotaka
 
Mesi kachezea kikosi bora, mess bila iniesta hakuna viwango! Yupo kwenye class A lakini siyo best player of all times!
 
Back
Top Bottom