kifinga
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 5,249
- 9,539
ngoja tuone ni suala la muda tu ila mi naamini atapata kura nyingi upinzani hawana hoja mpyaMkuu juz nilikaaa sehemu Wakati anachukua form watu wanaangalia TV kuna wawili walitamba Sana na kumshabikia Sana watu Kama 40 hivi walikuwa kimya wale wakaenda wakawatibua wale 40 walihamaki wakaanza kuwachamba na kusema kuwa tupige kura sasahivi hapa Kati walionyosha mkono kumkataa ni 36 wslionyosha kumkubali ni 6 tu nilishangaa Sana watu wakaanza kusema kuwa watu wanaomkubali magufuli wamekuwa huru kwa kutamba na wanajitokeza zaid Na wanaompinga wamejichimbia wako kimya kutokana na hofu iliyojengwa na serikali Ya kuwafuatilia Ndio maaana watu Kama wewe mnakuwa na ujasiri wa kuongea hivyo Lakini kinachopelekea uongee hivyo ni watu Wa upande wa pili kukaa kimya Lakini ukweli ni kuwa Kwa Uchaguzi huru na haki magufuli ni 30 asilimia tu na haziwez vuka hapo huo ndio ukweli usiosemwa Mkuu