Na kitu hajui angejitafutia zake mke huko vijijini akawa mke na akamuweka mbali na midrama yake cha muhimu atafute hela mke ampe heshima nyumbani, haji tatizo kamdomoTrust me, wanawake wengi wanamhukumu kwa rangi yake, unamuona hv alivyo sasa ni kutokana ana jina tayari ndo mana anatoka na hao wanawake maarufu ila angekuwa kapuku kama sisi wengine ndo ungeona uhalisia namna anavyokataliwa na wanawake kisa rangi yake au angepata wanawake wa kawaida sana wa mtaani ila sio hao watu maarufu.
Huyo anafukuzana na upepo ushauri wako hawezi kuuelewa bado hajadharirika vizuri mpaka aoe kitoto cha afu2005Acheni hizo bandugu, Kuna mstari mwembamba baina ya utani na dhihaka!
Hajji achana na hawa mabinti mtandao! Mrudie Moja ya wanawake wako wa zamani, ishi maisha ya kawaida! Achana na mitandao! Utavunjiwa heshima!
After all una ilm (maarifa) ya dini! Ni muda Sasa kurudi nyumbani mdogo mdogo!
Sasa kwa age ya manara bado anashauriwa namna ya kuishi na mke unahisi anaweza kukuelewa?Mitandao ndio inamuharibia.atafute mke wa kawaida mvumilivu .amuweke mbali na mitandao
Wanawake wanapenda sana umbea, ukiwa muongeaji utawakata sana kila uchwao.Wanawake hawana fomula
Mimi ni muongeaji ila sikosi papuchi mtaani
Relax mkuu
Wale k*ma hawana fomula
Gubu ni nini ?Wanawake wanapenda sana umbea, ukiwa muongeaji utawakata sana kila uchwao.
Nipo kikazi mkoa fulani hapa, nimempata mdada anamiliki duka lake na yuko poa haswa kwa uchangamfu wangu na maneno mengi sana ya hapa na pale.
Kuna shemeji yangu ndio alinipa hiyo fomula kuwa wanawake wanapenda sana kukaa na kumsikiliza mwanaume anayeongea sana na kuwachekesha, kwakuwa umbea ni sehemu ya maisha yao.
Kwa mantiki hiyo bwana Haji asiwekwe kwenye kundi la waongeaji ama wazungumzaji sana, labda tuseme ana Gubu.
Tena Gubu la Kizaramo haswa, ama tuseme Nongwa.
Unajaza mada humu kumbe ni ugonjwa wa muda mrefu, nadhani mods hawatahangaika na wewe tenaTukiwa watoto pale mnazi mmoja primary school enzi za headteach Mzee Chalila
Tulipata mwanafunzi mgeni tukaambiwa ametoka Bunge Primary School .
Mimi somo la Hisabati lilinipiga chenga ila masomo yote yakujieleza pamoja na English nilikuwa vizuri sana,huyu mgeni yeye alizijua hesabu kwa kiasi chake.
Tulijikuta tumekuwa karibu kwa lengo la kusaidiana masomo
Darasa letu lilikuwana watoto zaidi ya 100,na kulikuwa na A,B,C,D.
Mwaka wetu tulihitimi zaidi ya 400. Kwa hiyo ili kujuana lazima kuwe na kitu cha kuwaunganisha.
Haji Manara hakuwa kilaza darasani ila ninachokumbuka kila alipotongoza aliambulia kibuti,aliishia kula kwa macho,mademu zetu sliishia kuwaita shemeji
Aliishia kuwanunulia mihogo pale kwa baharia Said Mihogo lakini ikifika muda wa kupewa tunda anazungushwa tuu
Yanayomkuta leo hayakuanza jana wala juzi,ameteseka sana juu ya mapenzi kitambo.
Hapa naongelea early 90s pliz
Hapa tusihusishe rangi pliz pliz,Babu Sikare alikuwa albino ila watoto wazuri wote walimpenda kuanzia shule mpaka mitaani na aliwafaidi kweli.
Familia ya akina Possi nimewajua kitambo tu,wasichana walikuwa wanajigonga kwao mpaka mama yao anawakimbiza.
Haji ana misifa sana,kipindi tunadoma alikuwa akisema yeye sio mtanzania kazaliwa ulayana kweli alikuwa na passport ya nchi fulani ya ulaya,siikumbuki,alikuwa akitembea nayo kila nahali
AahaaaaWanawake wanapenda sana umbea, ukiwa muongeaji utawakata sana kila uchwao.
Nipo kikazi mkoa fulani hapa, nimempata mdada anamiliki duka lake na yuko poa haswa kwa uchangamfu wangu na maneno mengi sana ya hapa na pale.
Kuna shemeji yangu ndio alinipa hiyo fomula kuwa wanawake wanapenda sana kukaa na kumsikiliza mwanaume anayeongea sana na kuwachekesha, kwakuwa umbea ni sehemu ya maisha yao.
Kwa mantiki hiyo bwana Haji asiwekwe kwenye kundi la waongeaji ama wazungumzaji sana, labda tuseme ana Gubu.
Tena Gubu la Kizaramo haswa, ama tuseme Nongwa.
Wivu uliopitilizaGubu ni nini ?
Mbona mwijaku haachwi na anamdomo kama mtoto wa kike..Tukiwa watoto pale mnazi mmoja primary school enzi za headteach Mzee Chalila
Tulipata mwanafunzi mgeni tukaambiwa ametoka Bunge Primary School .
Mimi somo la Hisabati lilinipiga chenga ila masomo yote yakujieleza pamoja na English nilikuwa vizuri sana,huyu mgeni yeye alizijua hesabu kwa kiasi chake.
Tulijikuta tumekuwa karibu kwa lengo la kusaidiana masomo
Darasa letu lilikuwana watoto zaidi ya 100,na kulikuwa na A,B,C,D.
Mwaka wetu tulihitimi zaidi ya 400. Kwa hiyo ili kujuana lazima kuwe na kitu cha kuwaunganisha.
Haji Manara hakuwa kilaza darasani ila ninachokumbuka kila alipotongoza aliambulia kibuti,aliishia kula kwa macho,mademu zetu sliishia kuwaita shemeji
Aliishia kuwanunulia mihogo pale kwa baharia Said Mihogo lakini ikifika muda wa kupewa tunda anazungushwa tuu
Yanayomkuta leo hayakuanza jana wala juzi,ameteseka sana juu ya mapenzi kitambo.
Hapa naongelea early 90s pliz
Hapa tusihusishe rangi pliz pliz,Babu Sikare alikuwa albino ila watoto wazuri wote walimpenda kuanzia shule mpaka mitaani na aliwafaidi kweli.
Familia ya akina Possi nimewajua kitambo tu,wasichana walikuwa wanajigonga kwao mpaka mama yao anawakimbiza.
Haji ana misifa sana,kipindi tunadoma alikuwa akisema yeye sio mtanzania kazaliwa ulayana kweli alikuwa na passport ya nchi fulani ya ulaya,siikumbuki,alikuwa akitembea nayo kila nahali
InawezekanaWanawake wanapenda sana umbea, ukiwa muongeaji utawakata sana kila uchwao.
Nipo kikazi mkoa fulani hapa, nimempata mdada anamiliki duka lake na yuko poa haswa kwa uchangamfu wangu na maneno mengi sana ya hapa na pale.
Kuna shemeji yangu ndio alinipa hiyo fomula kuwa wanawake wanapenda sana kukaa na kumsikiliza mwanaume anayeongea sana na kuwachekesha, kwakuwa umbea ni sehemu ya maisha yao.
Kwa mantiki hiyo bwana Haji asiwekwe kwenye kundi la waongeaji ama wazungumzaji sana, labda tuseme ana Gubu.
Tena Gubu la Kizaramo haswa, ama tuseme Nongwa.
Ushauri makini saana👿Acheni hizo bandugu, Kuna mstari mwembamba baina ya utani na dhihaka!
Hajji achana na hawa mabinti mtandao! Mrudie Moja ya wanawake wako wa zamani, ishi maisha ya kawaida! Achana na mitandao! Utavunjiwa heshima!
After all una ilm (maarifa) ya dini! Ni muda Sasa kurudi nyumbani mdogo mdogo!
Manara afukuzwe kwenye chama, yaani kupata mbususu (mzabzab ) kwa mkewe hadi aweke 400k mezani!Hawa Wanawake wa mitandaoni wanaangalia pesa na fursa tuu, wanamuona manara n fursa hvy wanapita nae tuu ila huyo manara angekuwa hana kitu kama sisi bc angekuwa na mwanamke wa kawaida sana wa huku mitaani kwetu
walishavujisha mpaka picha zake za utupu, unataka avunjiwe heshima mara ngapi ?Acheni hizo bandugu, Kuna mstari mwembamba baina ya utani na dhihaka!
Hajji achana na hawa mabinti mtandao! Mrudie Moja ya wanawake wako wa zamani, ishi maisha ya kawaida! Achana na mitandao! Utavunjiwa heshima!
After all una ilm (maarifa) ya dini! Ni muda Sasa kurudi nyumbani mdogo mdogo!
Watoto wa primary mlikuwa mnatongoza na kula mademu???Kabisaaa mi sio mtoto ila nilianza la kwanza na miaka 5 haji alianza na 9
Yes Haji sio mtanzania. Amezaliwa Amsterdam, Uholanzi.Ulipogusia kwenye kusema yeye sio mtanzania ndiyo nimejua na kukubali kuwa kweli unamjua .
Haji amewahi kuwa mwalimu wangu ila akipenda sana enzi hizo kusema yeye sio mtanzania na pia tukakutana kwenye chama fulani akiwa naye ni mwanachama ila kiongozi wa ngazi fulani nako hakusita kuendelea kutuchimba biti za kitoto .
Ila itoshe kusema Manara ana kimavi fulani kinachotokana na kamdomo kake .
Ukimuona mwambie katogori anamsalimia sana anitafute
Unaijua Mnazi Mmoja Primary lakini?Watoto wa primary mlikuwa mnatongoza na kula mademu???
Alikuwa wa kutosha,vijana wa Sasa kupigwa kibuti!Tukiwa watoto pale Mnazi Mmoja Primary School enzi za Headteacher Mzee Chalila.
Tulipata mwanafunzi mgeni tukaambiwa ametoka Bunge Primary School .
Mimi somo la Hisabati lilinipiga chenga ila masomo yote yakujieleza pamoja na English nilikuwa vizuri sana,huyu mgeni yeye alizijua hesabu kwa kiasi chake.
Tulijikuta tumekuwa karibu kwa lengo la kusaidiana masomo
Darasa letu lilikuwana watoto zaidi ya 100,na kulikuwa na A,B,C,D.
Mwaka wetu tulihitimi zaidi ya 400. Kwa hiyo ili kujuana lazima kuwe na kitu cha kuwaunganisha.
Haji Manara hakuwa kilaza darasani ila ninachokumbuka kila alipotongoza aliambulia kibuti,aliishia kula kwa macho,mademu zetu sliishia kuwaita shemeji
Aliishia kuwanunulia mihogo pale kwa baharia Said Mihogo lakini ikifika muda wa kupewa tunda anazungushwa tuu
Yanayomkuta leo hayakuanza jana wala juzi,ameteseka sana juu ya mapenzi kitambo.
Hapa naongelea early 90s pliz
Hapa tusihusishe rangi pliz pliz,Babu Sikare alikuwa albino ila watoto wazuri wote walimpenda kuanzia shule mpaka mitaani na aliwafaidi kweli.
Familia ya akina Possi nimewajua kitambo tu,wasichana walikuwa wanajigonga kwao mpaka mama yao anawakimbiza.
Haji ana misifa sana,kipindi tunasoma alikuwa akisema yeye sio Mtanzania kazaliwa Ulaya na kweli alikuwa na Passport ya nchi fulani ya Ulaya,siikumbuki,alikuwa akitembea nayo kila Mahali