Tangu tupate uhuru Mungu amejibu maombi ya watanzania mara moja tu mwaka 2021

Tangu tupate uhuru Mungu amejibu maombi ya watanzania mara moja tu mwaka 2021

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Kiranga anasemaje kuhusu Mungu.?
Kuna kafir mmoja alidai shetani ndio mungu na mungu ndio shetani.
Waluosomea Cuba watakubaluana nami kuwa Mungu wetu tangu uhuru amejibu maombi nara moja tu mwaka 2021
 
Hakuna maombi ya namna ile watanzania waliokubaliana waombe na Mungu akawajibu. Ile ilitokea tu, na Mungu asihusishwe na tukio lile.
 
Kiranga anasemaje kuhusu Mungu.?
Kuna kafir mmoja alidai shetani ndio mungu na mungu ndio shetani.
Waluosomea Cuba watakubaluana nami kuwa Mungu wetu tangu uhuru amejibu maombi nara moja tu mwaka 2021
Hata huo mwaka 2021 mnamsingizia tu.

Ukibisha, thibitisha Mungu yupo.
 
Back
Top Bottom