Historia ina faida yake, bila historia usingejua Tanganyika ilipata uhuru lini.Inasaidia nini kukua kiuchumi dhidi ya vizazi vijavyo? Kuna mambo hata kuyaweka kwenye historia hayana maana na faida yoyote, Africa tutazidi kua wa masikini sana Kwa sababu ya mambo yasiyo na maana.
1. Sherehe kidogo za kitaifa eti hatufanyi kazi.
2. Kumbukumbu ya kifo Cha kiongozi fulani eti hatufanyi kazi.
Eti viongozi ni waZanzibar tutunze kumbukumbu, inasaidia nini? Mtoto shuleni anafundishwa habari za Kinjekitile sijui, inasaidia nini? Ujinga ujinga tu
Katiba ya Zanzibar baada ya Uhuru au Kabla ..... Mwinyi alizaliwa na kuhamia ZNZ kabla ya hiyo Katiba ya sasa.Soma katiba ya Zanzibar.
Siyo kweli ilikuwa hivyo wakati Mwinyi akiwa rais wa JMT na komandoo Salmin Amour akiwa rais wa Zanzibar.Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hufanyika kila mwaka. Ni kawaida rais wa JMT na rais wa Zanzibar kuhudhuria. Mwaka huu kwa mara ya kwanza viongozi Wakuu wote ni kutoka upande wa Zanzibar yaani wote (top two) ni Wazanzibari. Muungano halisi uko wapi hapo.
Anyways, hakuna ubaya ni kuweka vizuri historia kwa vizazi vijavyo.
View attachment 2196015
Wewe jamaa unachuki kweli na wazanzibar.kama hamuwataki wapeni nchi yao.nani analilia mungano kama sio nyinyi wabara?Hizi gharama tutabebeshwa wabara
Ipigwe kura nani anataka na nani hataki?Wewe jamaa unachuki kweli na wazanzibar.kama hamuwataki wapeni nchi yao.nani analilia mungano kama sio nyinyi wabara?
Chizi huyo au ni kitoto kilichozaliwa miaka ya 1990sKwani wakati wa mzee Ruksa ilikuwaje?
Mkuu kwani wakati wa Mzee Mwinyi ilikuwaje? Idris Abdul Wakil na kipindi cha Salmin Amour hakuwa wakihudhuria sherehe hizi?Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hufanyika kila mwaka. Ni kawaida rais wa JMT na rais wa Zanzibar kuhudhuria. Mwaka huu kwa mara ya kwanza viongozi Wakuu wote ni kutoka upande wa Zanzibar yaani wote (top two) ni Wazanzibari. Muungano halisi uko wapi hapo.
Anyways, hakuna ubaya ni kuweka vizuri historia kwa vizazi vijavyo.
View attachment 2196015
Kuzaliwa kwake Bara hakumuondolei Uzanzibari wake.Mwinyi alizaliwa Kivure kwenye Mkoa wa Pwaniwa Tanzania bara lakini wazazi wake walihamia Unguja alipokuwa mdogo. Kuanzia mwaka 1933 alipokea elimu ya msingi na sekondari kwenye shule za Mangapwani na Dole Secondary School alikohitimu mwaka 1942.
Tatizo ni mama, au mpaka hujaelewa bado?Kwani wakati wa mzee Ruksa ilikuwaje?
Kwani wakati wa mzee Ruksa ilikuwaje?
Sasa mbona mwanchanganya ivo?Ally Hassan Mwinyi alizaliwa Mkuranga Kivure Mkoa wa Pwani wazazi wake walihamia Unguja alipokuwa mdogo. Hussein ni mzanzibari alizaliwa Zanzibar Unguja trh 23/12/1966.
Maamuzi walikua wanatoa wanawake usiku.Kwa nini mababu zetu hawakuwashirikisha wanawake kwenye vikao vya maamuzi
Shangaa na wewe!!Kwani wakati wa mzee Ruksa ilikuwaje?
Afrika hata tungepata Rais Toka China ni poa TU mana waafrika ni makapi kichwani na hawana msaada wowote kiuchumi.
Nchi Ina wasomi aina ya Propesa Kitilya na Propesa Kabudi. Mpropesa Rabishi wanajadili uchumi wa ajira ya bodaboda kwenye nchi yenye ardhi kubwa yenye rutuba ,mito ,maziwa na madini.
Rubi Moja tu imeibiwa na kuuzwa Huko Dubai inathamani ya Kununua bodaboda zote nchini. Badala ya kuilazimisha serikali iwekeze kwenye kilimo ,mifugo na madini Kwa nguvu zote Kwa kuwaunganisha wasomi wote inahamasishwa udangaji wa bodaboda. Yaani uchumi unakua china wanaouza spea za Pikipiki na gharama kubwa inakua Kwa Matibabu ya Watanzania punde zinazotokea ajali za kila siku za bodaboda wasio na utaratibu wa kufanya shughuli hiyo.
Bara la Giza Bado watu wanajadili Utanganyika na Uzanzibari na Upemba na Umafia.
Sijui Mafia iliungana lini na Tanganyika au ni Kwa sababu Mkoloni hakuigwa kuwa Nchi. Ama kweli Dunia ni ya Mungu na vitu ni vya Mzungu
Sio kosa lake inawezekana enzi za Mzee Mwinyi alikuwa hajazaliwa.Umempiga pabaya sana huyu member
Atajiona Kilaza ambaye hajui historia ya nchi hii
Nimecheka sana ulivyomjibu, Muda huu atakuwa anauma uma meno
Mwinyi na SaliminSherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hufanyika kila mwaka. Ni kawaida rais wa JMT na rais wa Zanzibar kuhudhuria. Mwaka huu kwa mara ya kwanza viongozi Wakuu wote ni kutoka upande wa Zanzibar yaani wote (top two) ni Wazanzibari. Muungano halisi uko wapi hapo.
Anyways, hakuna ubaya ni kuweka vizuri historia kwa vizazi vijavyo.
View attachment 2196015
Mwinyi ni raia wa KisaraweUmempiga pabaya sana huyu member
Atajiona Kilaza ambaye hajui historia ya nchi hii
Nimecheka sana ulivyomjibu, Muda huu atakuwa anauma uma meno