Tangu tupate Uhuru ni mara ya kwanza sherehe za Muungano kuhudhuriwa na Marais wote kutoka upande wa Zanzibar

Tangu tupate Uhuru ni mara ya kwanza sherehe za Muungano kuhudhuriwa na Marais wote kutoka upande wa Zanzibar

Inasaidia nini kukua kiuchumi dhidi ya vizazi vijavyo? Kuna mambo hata kuyaweka kwenye historia hayana maana na faida yoyote, Africa tutazidi kua wa masikini sana Kwa sababu ya mambo yasiyo na maana.

1. Sherehe kidogo za kitaifa eti hatufanyi kazi.

2. Kumbukumbu ya kifo Cha kiongozi fulani eti hatufanyi kazi.

Eti viongozi ni waZanzibar tutunze kumbukumbu, inasaidia nini? Mtoto shuleni anafundishwa habari za Kinjekitile sijui, inasaidia nini? Ujinga ujinga tu
Historia ina faida yake, bila historia usingejua Tanganyika ilipata uhuru lini.
 
Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hufanyika kila mwaka. Ni kawaida rais wa JMT na rais wa Zanzibar kuhudhuria. Mwaka huu kwa mara ya kwanza viongozi Wakuu wote ni kutoka upande wa Zanzibar yaani wote (top two) ni Wazanzibari. Muungano halisi uko wapi hapo.

Anyways, hakuna ubaya ni kuweka vizuri historia kwa vizazi vijavyo.

View attachment 2196015
Siyo kweli ilikuwa hivyo wakati Mwinyi akiwa rais wa JMT na komandoo Salmin Amour akiwa rais wa Zanzibar.
 
Tujiandae kupokea UJUMBE mzito wa KATIBA .....

Tanzania imekuwa mpaka ina vitukuu
 
Hussein yuko poa sana japo nasikia hao mabingwa ni kaka na dada. Nahsi tumepigwa
 
Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hufanyika kila mwaka. Ni kawaida rais wa JMT na rais wa Zanzibar kuhudhuria. Mwaka huu kwa mara ya kwanza viongozi Wakuu wote ni kutoka upande wa Zanzibar yaani wote (top two) ni Wazanzibari. Muungano halisi uko wapi hapo.

Anyways, hakuna ubaya ni kuweka vizuri historia kwa vizazi vijavyo.

View attachment 2196015
Mkuu kwani wakati wa Mzee Mwinyi ilikuwaje? Idris Abdul Wakil na kipindi cha Salmin Amour hakuwa wakihudhuria sherehe hizi?
 
Mwinyi alizaliwa Kivure kwenye Mkoa wa Pwaniwa Tanzania bara lakini wazazi wake walihamia Unguja alipokuwa mdogo. Kuanzia mwaka 1933 alipokea elimu ya msingi na sekondari kwenye shule za Mangapwani na Dole Secondary School alikohitimu mwaka 1942.
Kuzaliwa kwake Bara hakumuondolei Uzanzibari wake.
Uzanzibari haupatikani kwa kuzaliwa tu bali hata kwa kuishi.
Uzanzibari unapatikana kwa Mtanzania yoyote alieishi Zanzibar kwa miaka 5 mfululizo. Na Kuna kipindi hapo ilipunguzwa mpaka 2 Ila baadae ikarudishwa 5.
 
Ally Hassan Mwinyi alizaliwa Mkuranga Kivure Mkoa wa Pwani wazazi wake walihamia Unguja alipokuwa mdogo. Hussein ni mzanzibari alizaliwa Zanzibar Unguja trh 23/12/1966.
Sasa mbona mwanchanganya ivo?
Siye huyu Husein aliyekua mbunge wa Nkuranga? Hivi wazanzibari Wana ruhusiwa kugombea huku? Au mie nkagombee ubunge Chakechake
 
Kwa nini mababu zetu hawakuwashirikisha wanawake kwenye vikao vya maamuzi​

Maamuzi walikua wanatoa wanawake usiku.
Wanawake hasa waliowalisha waume zao limbwata walikua wanawaamrisha kwenye kikao ukaseme abc.
Wanawake walitawala kupitia chumbani, hata Sasa hivi bado wanafanya hivyo, ndio maana unaweza kumkuta waziri anaongea kitu kisicho na mashiko. Kwa mfano unaweza kumkuta waziri wa mifugo anapima urefu wa mbuzi machinjioni ili kubaini mbuzi anaefaaa kuliwa.
 
Afrika hata tungepata Rais Toka China ni poa TU mana waafrika ni makapi kichwani na hawana msaada wowote kiuchumi.

Nchi Ina wasomi aina ya Propesa Kitilya na Propesa Kabudi. Mpropesa Rabishi wanajadili uchumi wa ajira ya bodaboda kwenye nchi yenye ardhi kubwa yenye rutuba ,mito ,maziwa na madini.
Rubi Moja tu imeibiwa na kuuzwa Huko Dubai inathamani ya Kununua bodaboda zote nchini. Badala ya kuilazimisha serikali iwekeze kwenye kilimo ,mifugo na madini Kwa nguvu zote Kwa kuwaunganisha wasomi wote inahamasishwa udangaji wa bodaboda. Yaani uchumi unakua china wanaouza spea za Pikipiki na gharama kubwa inakua Kwa Matibabu ya Watanzania punde zinazotokea ajali za kila siku za bodaboda wasio na utaratibu wa kufanya shughuli hiyo.

Bara la Giza Bado watu wanajadili Utanganyika na Uzanzibari na Upemba na Umafia.

Sijui Mafia iliungana lini na Tanganyika au ni Kwa sababu Mkoloni hakuigwa kuwa Nchi. Ama kweli Dunia ni ya Mungu na vitu ni vya Mzungu

Labda kichwa chako ni kina makapi.

Kwa kusema hivyo ina maana yuko unayemsujudu
 
Umempiga pabaya sana huyu member

Atajiona Kilaza ambaye hajui historia ya nchi hii

Nimecheka sana ulivyomjibu, Muda huu atakuwa anauma uma meno
Sio kosa lake inawezekana enzi za Mzee Mwinyi alikuwa hajazaliwa.
Hivyo msimlaumu sana.
 
Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hufanyika kila mwaka. Ni kawaida rais wa JMT na rais wa Zanzibar kuhudhuria. Mwaka huu kwa mara ya kwanza viongozi Wakuu wote ni kutoka upande wa Zanzibar yaani wote (top two) ni Wazanzibari. Muungano halisi uko wapi hapo.

Anyways, hakuna ubaya ni kuweka vizuri historia kwa vizazi vijavyo.

View attachment 2196015
Mwinyi na Salimin
 
Back
Top Bottom