Tangu tupate Uhuru ni mara ya kwanza sherehe za Muungano kuhudhuriwa na Marais wote kutoka upande wa Zanzibar

Umempiga pabaya sana huyu member

Atajiona Kilaza ambaye hajui historia ya nchi hii

Nimecheka sana ulivyomjibu, Muda huu atakuwa anauma uma meno
Umepigwa Nyindo vibaya huko chini, kasoke. Wewe Sasa rasmi ndiwe Kilaza
 
Kwa mantiki yako basi Hayati Abeid Amani Karume hakuwa mzanzibar kwa kuwa hakuzaliwa Zanzibar?
 
Muungano ni wa ajabu, umezalisha wananchi wa ajabu matokeo yake ni sherehe za ajabu! Imagine ukienda Kigoma ndani ndani huko kama mtegowanoti utamkuta mpemba mwalimu, narudia ni mwalimu sio mfanyabiashara. Jiu;ize, je, ukienda pemba inawezekana ukamkuta msukuma ameajiliwa kama mwalimu huko!! Jibu ni No! Labda kule kambi ya jeshi unawezakuwaku wanajeshi kutoka Tanganyika!
 
Umempiga pabaya sana huyu member

Atajiona Kilaza ambaye hajui historia ya nchi hii

Nimecheka sana ulivyomjibu, Muda huu atakuwa anauma uma meno
Hawa mateka wa Mbowe unafikiri washawahi kuwa na AIBU.

Kama waliweza KUMNADI Lowassa unadhani Wana aibu Hawa?
 
Reactions: Tui
Kwa hiyo miaka kumi ya Rais AlI Hassan Mwinyi, sherehe za Muungano zilifutwa? Jamani somo la historia limebadilishwa siku hizi?
 
Reactions: Tui
Ikiwa unaamini mzee Mwinyi si Mzanzibar halisi basi Hussein pia si Mzanzibar halisi.

Je msingi wa hoja yako ni upi?
Mwandishi ana muono mdogo sana. Hata historia ya uongozi wa nchi hii haijui.
 
Dugu moya
 
Kajifinze kwanza historia ya uongozi wa nchi hii tangu uhuru. Yaelekea umezaliwa juzi na hujishughulishi na vitabu vya hisyoria.
 
Ally Hassan Mwinyi alizaliwa Mkuranga Kivure Mkoa wa Pwani wazazi wake walihamia Unguja alipokuwa mdogo. Hussein ni mzanzibari alizaliwa Zanzibar Unguja trh 23/12/1966.
Sifa za kuwa Mzanzibari ni zipi?
 
Kajifinze kwanza historia ya uongozi wa nchi hii tangu uhuru. Yaelekea umezaliwa juzi na hujishughulishi na vitabu vya hisyoria.
Toa hoja ya ku challenge kama huna pisha, masuala ya lini nimezaliwa hayana nafasi hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…