Umemaliza ubishi, johnthebaptistAlly Hassan Mwinyi alizaliwa Mkuranga Kivure Mkoa wa Pwani wazazi wake walihamia Unguja alipokuwa mdogo. Hussein ni mzanzibari alizaliwa Zanzibar Unguja trh 23/12/1966.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza ubishi, johnthebaptistAlly Hassan Mwinyi alizaliwa Mkuranga Kivure Mkoa wa Pwani wazazi wake walihamia Unguja alipokuwa mdogo. Hussein ni mzanzibari alizaliwa Zanzibar Unguja trh 23/12/1966.
Umepigwa Nyindo vibaya huko chini, kasoke. Wewe Sasa rasmi ndiwe KilazaUmempiga pabaya sana huyu member
Atajiona Kilaza ambaye hajui historia ya nchi hii
Nimecheka sana ulivyomjibu, Muda huu atakuwa anauma uma meno
Sio kosa lake inawezekana enzi za Mzee Mwinyi alikuwa hajazaliwa.
Hivyo msimlaumu sana.
Kwani Hakuna nchi ya Zanzibar? We vipi?Kama ni Watanzania hakuna shida.
Post # 8&9.Mwinyi na Salimin
Labda alikuwa hajazaliwa.Kwani wakati wa mzee Ruksa ilikuwaje?
Hawa mateka wa Mbowe unafikiri washawahi kuwa na AIBU.Umempiga pabaya sana huyu member
Atajiona Kilaza ambaye hajui historia ya nchi hii
Nimecheka sana ulivyomjibu, Muda huu atakuwa anauma uma meno
Kwa hiyo miaka kumi ya Rais AlI Hassan Mwinyi, sherehe za Muungano zilifutwa? Jamani somo la historia limebadilishwa siku hizi?Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hufanyika kila mwaka. Ni kawaida rais wa JMT na rais wa Zanzibar kuhudhuria. Mwaka huu kwa mara ya kwanza viongozi Wakuu wote ni kutoka upande wa Zanzibar yaani wote (top two) ni Wazanzibari. Muungano halisi uko wapi hapo.
Anyways, hakuna ubaya ni kuweka vizuri historia kwa vizazi vijavyo.
View attachment 2196015
Ninyi vijana wa Mbowe, tafuteni hoja basi za Msingi ili mpate kueleweka.Post #8 & 9.
Kwa hiyo ni mtanganyika kwa kuzaliwa.Mwinyi alizaliwa Kivure kwenye Mkoa wa Pwaniwa Tanzania bara lakini wazazi wake walihamia Unguja alipokuwa mdogo. Kuanzia mwaka 1933 alipokea elimu ya msingi na sekondari kwenye shule za Mangapwani na Dole Secondary School alikohitimu mwaka 1942.
Mwandishi ana muono mdogo sana. Hata historia ya uongozi wa nchi hii haijui.Ikiwa unaamini mzee Mwinyi si Mzanzibar halisi basi Hussein pia si Mzanzibar halisi.
Je msingi wa hoja yako ni upi?
Dugu moyaSherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hufanyika kila mwaka. Ni kawaida rais wa JMT na rais wa Zanzibar kuhudhuria. Mwaka huu kwa mara ya kwanza viongozi Wakuu wote ni kutoka upande wa Zanzibar yaani wote (top two) ni Wazanzibari. Muungano halisi uko wapi hapo.
Anyways, hakuna ubaya ni kuweka vizuri historia kwa vizazi vijavyo.
View attachment 2196015
Kajifinze kwanza historia ya uongozi wa nchi hii tangu uhuru. Yaelekea umezaliwa juzi na hujishughulishi na vitabu vya hisyoria.Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hufanyika kila mwaka. Ni kawaida rais wa JMT na rais wa Zanzibar kuhudhuria. Mwaka huu kwa mara ya kwanza viongozi Wakuu wote ni kutoka upande wa Zanzibar yaani wote (top two) ni Wazanzibari. Muungano halisi uko wapi hapo.
Anyways, hakuna ubaya ni kuweka vizuri historia kwa vizazi vijavyo.
View attachment 2196015
Read post #8&9.Kwa hiyo miaka kumi ya Rais AlI Hassan Mwinyi, sherehe za Muungano zilifutwa? Jamani somo la historia limebadilishwa siku hizi?
Sifa za kuwa Mzanzibari ni zipi?Ally Hassan Mwinyi alizaliwa Mkuranga Kivure Mkoa wa Pwani wazazi wake walihamia Unguja alipokuwa mdogo. Hussein ni mzanzibari alizaliwa Zanzibar Unguja trh 23/12/1966.
Toa hoja ya ku challenge kama huna pisha, masuala ya lini nimezaliwa hayana nafasi hapa.Kajifinze kwanza historia ya uongozi wa nchi hii tangu uhuru. Yaelekea umezaliwa juzi na hujishughulishi na vitabu vya hisyoria.
Unafahamu kuwa wazanzibari wengi ni wazanzibara?Post #8 & 9.