Tangu tupate uhuru. Rais anayetawala kwa misukosuko ni rais Samia

Wananchi wasio wanaCCM na wanaCCM hawautaki utawala wake kabisa.

Kila analofanya linaonekana baya machoni pa wananchi.

Anaonekana machoni pa wananchi kama rais anayekumbatia mafisadi na walionyuma yake ni mafisadi.
Ni kweli kabisa anapitia misukosuko kibao,sasa ngoja tuone jinsi atakavyoweza kuipangua hiyo misukosuko
 
Wananchi wasio wanaCCM na wanaCCM hawautaki utawala wake kabisa.

Kila analofanya linaonekana baya machoni pa wananchi.

Anaonekana machoni pa wananchi kama rais anayekumbatia mafisadi na walionyuma yake ni mafisadi.
Usifanye mchezo na damu za watu zaidi ya 10,000 wasio na hatia.
 
KWakuwa ww ni chawa huwezi kukubali, hata kura raia zilisusa kutoka kwenda kumpigia...ni wazi kabisa amekataliwa!.
Ni kukosa hoja pale unapodhani kila anayekuoinga hoja zako ni chawa,kwani ni kipimo hichohicho ndicho utakachooimwa wewe
 
Damu na machozi ya Oct.29 2025 vitausumbua sana utawala wa Samia.
 
Wananchi wasio wanaCCM na wanaCCM hawautaki utawala wake kabisa.

Kila analofanya linaonekana baya machoni pa wananchi.

Anaonekana machoni pa wananchi kama rais anayekumbatia mafisadi na walionyuma yake ni mafisadi.

..amejitakia mwenyewe.

..aliwatapeli wananchi kuhusu 4R.
 
Misukosuko amejitakia mwenyewe sababu ya matendo yake maovu kama
1 kupotea Humphrey polepole
2 kifo cha Mzee Ally Kibao mchana kweupe
3 kubambika kesi za kipuuzi kwa wapinzani
4 kuteua wanafamilia pasipokuzingatia weledi
 
Ana
Wananchi wasio wanaCCM na wanaCCM hawautaki utawala wake kabisa.

Kila analofanya linaonekana baya machoni pa wananchi.

Anaonekana machoni pa wananchi kama rais anayekumbatia mafisadi na walionyuma yake ni mafis

Wananchi wasio wanaCCM na wanaCCM hawautaki utawala wake kabisa.

Kila analofanya linaonekana baya machoni pa wananchi.

Anaonekana machoni pa wananchi kama rais anayekumbatia mafisadi na walionyuma yake ni mafisadi.
Hana uwezo hata wa kuwa Monitress wa darasa ghafla kawa Rais ulitegemea tofauti?
 
Damu nzito kuliko maji.
Ni udini tu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
As long as Kikwete yupo basi misukosuko kwake itapanguliwa kiulani sana mpaka pale watanzania mtakapojitambua.
Mimi huwa nashangaa sana watu wakimchukulia Sir100 kama eti ndio rais na misukosuko ni yake.

Ina maana kuna watu bado hawajui kuwa remote ipo msoga?
 
Kifo cha mzee ally kibao mchana kweupe
Mimi kama huyo mzee aliyekuwa na miaka 60+ pamoja na uchanga wangu wa kufuatilia siasa sikuwahi hata kumsikia akifungua kinywa kumsema huyu mama na bado akauawa!

Vitu vya ajabu kabisa duniani!
 
Back
Top Bottom